Liberee Live ndani ya Boti

Namkubali sana Profesa Jules Kibens, jamaa ukimuangalia utaona kama kaenda age kidogo lakini kwa wanakunywa wanajua mvinyo unavyokaa zaidi ndio unazidi kuwa bora zaidi.

Sikiliza huu wimbo kisha nipe maoni yako jamaa walivyobadilishana na kupokezana na mzee mzima.

Advertisements

One Response to Liberee Live ndani ya Boti

  1. peter says:

    Hiii ni mashine kubwa (mega machine) ndani ya KIN na BCBG huko Kin wanasema kwamba anaweza kuimba sauti tatu kwa wakati moja….fuatilia sana uimbaji wa huyu jamaa mpaka akaitwa PROFESSOR!!!!!!!! NAvutiwa sana na uchambuzi na topic zinazoletwa hapa ……big remerciment mingi wadau!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: