Maison Merre ndani ya BERCY

Na Hadji le BCBGque

Hii ni concert ya Maison Merre ndani ya BERCY mwaka 2000!ilikua ni baada ya Burkinafaso kumkimbia Jb Mpiana na kuhamia kwa Werrason wakati wakiwa studio kuandaa album ya TH ambayo ukiisikiliza ina kibwagizo cha Souvereign Premier souvereign premier Binadam souvereign premier Jb MPiana!

Asili ya kibwagizo hicho kilichobuniwa na Burkifaso akiwa na bcbg katika maandalizi ya TH ni Burkinafaso burkinafaso Mboka liyaa mboka liyaa……..

ndio hapa tutamuona Bill clinton akiwapiga kijembe bcbg kwa kuwaambia mtu mgeni akija kwako siku akiondoka huwa anaondoka na alivyokuja navyo!

“Burkinafaso Faso Mopaya soki Alongwe Akendaka na Nionso Ata Rideau Ya Pamba” – Bill Clinton (dk 2:50)

Advertisements

9 Responses to Maison Merre ndani ya BERCY

 1. Stivin says:

  Umeona Bercy ilivyofunga? Tupia Bercy ya Mpiana hapa tupambanishe!

 2. Hadj Le Jbnique says:

  kaka stiv hii hapa zawadi yako kaka,cha mutu cha mutu cha nzambe cha nzambe,havilinganishwi hata siku moja kaka….inzi hata kama anaruka juu kama ndege atabaki kuwa inzi tu,na siku yeyote kama unamuoma mbwa yuko juu ya mti usiulize amepandaje uliza nani kampandisha kwa kuwa katika hali ya kawaida mbwa hapandi mti bila kupamdishwa na mtu,pata muziki wa kweli sio yale makelele ya chizi bill clinton

 3. Anonymous says:

  mdau ulietaka live ya mpiana bercy nadhani umeridhika sasa kazi kwako,”upime” mwenyewe.

 4. Anonymous says:

  bill clinton mbona hapo mwishoni kama alikua anacheza kiliwanzenza na chakudibondasi style iliyoasisiwa na bcbg???je alikua anaikubali hiyo style na kuiiga au?maana ukimuangalia utaona anaicheza hiyo japo hawaiimbi kama bcbg wao wanachomeka maneno yao kijanja!kumbe kimoyo moyo hata yeye alikua anaikubali bcbg

 5. Mamaa Prezidente a.k.a. Mwasi Ya Mokonzi says:

  TUKO KIKAZI ZAIDI STEJINI,HATUKO KAMA WALE WENGINE WANAOSEMA SANA KWA STAGE

 6. Anonymous says:

  nilikua najiuliza mbona muziki kwenye concert hii ya bcbg umetoka mnene namna hiyo,nimechunguza vizuri nikaona kumbe walitumia double drums,upande mmoja alisimama titinaa na upande mwingine alisimama bonge deguin mignon,check vizuri hasa U TUBE NO 4 ya hiyo concert utaona wanavyokaanga kwa pamoja hizi chips zao

 7. peter says:

  HIYO NDIYO BCBG!!!!!HATA SIKU MOJA….USILINGANISHE…..baba Daida ni mkali sana katika Live concert jamaa yuko makini sana ..tafuta hiii hapa…..JB MPIANA & WENGE BCBG LIVE FIKIN 2011 (BILOKO) ……..

 8. I’m really loving the theme/design of your website. Do you ever run into any web browser compatibility problems? A few of my blog visitors have complained about my site not working correctly in Explorer but looks great in Opera. Do you have any suggestions to help fix this problem?

 9. Louisa Rayna says:

  Its my wonderful pleasure to visit your site and to get pleasure from your good posts here. I like it lots. I can come to feel that you paid much awareness for those posts, as all of them make sense and therefore are quite beneficial.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: