Hizi ni nyimbo za Congo na watunzi wasiojulikana

Na Hadji BCBG

Zijue nyimbo za congo zilizopata na zinazoendelea kupata umaarufu huku watunzi/waandishi wake halisi wakiwa hawajulikani kutokana na kuwauzia wanamuziki wenye majina ambao wamezisajili kama wamezitunga wao, kuanzia leo nitakuletea video mbili walao kila siku za nyimbo hizi ingawa hapa chini nitakuletea nyimbo zote na watunzi wake.

Mulolo; known author JB MPIANA
real author NICO BUAKONGO

Voyage:known author ADOLPHE DOMINGUEZ
real author PASCAL POBA/ BOGUYS BOMPEMA

 

 

Ngine ni hizi hapa chini

Blandine: known author WERRASON
real author DO AKONGO

Confessions intimes:know author HERITIER WATANABE
real author VIGAS

Filandu: known author BLAISE BULA
real author JULES KIBENS

Reference known author PAPA WEMBA
real author FELIX WAZEKWA

Loin de toi known author WERRASON
real author DO AKONGO

Maboko Pamba known author FERRE GOLA
real author EL DORADO

Papito Remix known author JB MPIANA
real author ZULEMA

Cavalier solitaire known author JB MPIANA
real author JULES KIBENS

Coco madimba known author WERRASON
real author JULES KIBENS

Nostalgie known author ELLIOT MONDOBE
real author DO AKONGO

Bulawayo known author EBOA LOTIN
real author DO AKONGO

Zadio known author JB MPIANA
real author JULES KIBENS/ZULEMA

Barcelone known author PAPA WEMBA
real author SENADO

Coco madimba known author WERRASON
real author JULES KIBENS

Mima known author PAPA WEMBA
real author SENADO

Kidiamfuka known author FALLY IPUPA
real author EL DORADO

100 kilos known author FERRE GOLA
real author EL DORADO

Detresse known author MIMICHE BASS
real author EL DORADO

Surprise kapangala known author WERRASON
real author BOGUYS BOMPEMA

La verité known author ADOLPHE DOMINGUEZ
real author BOGUYS BOMPEMA

Sans permission known author SEGUIN MIGNON
real author BOGUYS BOMPEMA

I’suis la known author JB MPIANA
real author JULES KIBENS

Sans anesthesie known author KOFFI OLOMIDE
real author EL DORADO

Lekasopo known author GENTAMYCINE
real author JULES KIBENS

Advertisements

4 Responses to Hizi ni nyimbo za Congo na watunzi wasiojulikana

  1. Anonymous says:

    Duu!kiboko hii ni ya kufunga mwaka,yani hawa vijana kumbe ndio walikua wakiwapa sifa hawa manguli,lakini lazima itakua walifanya biashara kwa kuwauzia hiyo mistari,hata hapa kwenye bongo flava ipo sana hiyo,kuna watu wana vipaji vya kuandika lakini si wanamuziki,kuanzia leo nitamuheshimu sana BOGUS BOMPEMA na JULES KIBENS ambao kwa sasa wako na jb bcbg,kumbe jamaa kwenye utunzi ni vichwa ile mbaya toka enzi hizo wakiwa hawapo kundini wenge origino

  2. Maginga says:

    Kwa kweli kumbe watu wanategeemeana sana big up kwa hawa watunzi coz wanafanya bolingo isichuje kwa kutoa vitu vikali

  3. a lot of fantastic information and inspiration, both of which I require, due to give this kind of a beneficial information right here.

  4. At this time it looks like WordPress is the preferred blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: