Papito Remix

 

Sijawahi kuona Video ya huu wimbo lakini hii ilikuwa ni Live in Studio na inasemwa Walikuwa wakifanya sound re arrangement na mazoezi kabla ya kurekodi ndio wakadondoka na hii.

Humu ndani nafurahishwa ana kila mmoja alivyojituma na kunata na beat, kiukweli wimbo huu ndio huwa unaongeza kilio changu cha BCBG ile yenyewe na kiukweli naimiss kinoma.

3 Responses to Papito Remix

 1. Emmanuel Nzambe malamu says:

  JB Mpyana, mobali kitoko, binadamu, nasepeli mingi na miziki yangoyo,

  Nzambe apamboli yo, sikoyo nalingi tosololanayo, tobongisalive muziki na kati ya bongo, franga izali mingi, nakopesa yo mbongo

 2. Hadj Le Jbnique says:

  Mi ninayo hii video but iko kwenye ile mikanda mikubwa ya kizamani,lakini video quality yake sio poa sana,ila inaonekana,huu wimbo papito remix ulitungwa na zulema mwanzo mwanzo akijuinga bcbg kutokea operation dragon ambayo ni maison mere B,Aliletwa bcbg na kiongozi wake wa zamani enzi hizo kwenye bendi ndogo ya FOLK STAR,Jules Kibens!Na ikumbukwe bcbg walitoa single mbili ambazo ambazo ziliuza sana,ilikua ni hii papito remix na y’a pas match,hii hapa chini

 3. peter says:

  Le Hadje jibenique au unaweza kumwita Le bcbg data base!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: