Dressed for the Serengeti

.

He wears a white cotton shirt with embroidery along the collar and she’s in a chic short dress with pretty gathered sleeves.

Geometric designs in bold colours are both tribal and modern.

Geometric designs in bold colours are both tribal and modern.

ISLAND Shop Malaysia ikiwa ni wauzaji na wasambazaji wa Island Shop Singapore, Lebel ya nguo ambayo inaheshimika sana kipande hii ya Asia wamekuja na Motto mpya kwa kuanzia Line ya nguo ambayo ina mvuto na taste ya Kiafrika kwa ajili ya kussuport juhudi za kupunguza umaskini kusini mwa Afrika.

We did lots of research into the different tribes around the Savannah and Serengeti, and with the help of our African friends, we made it look wonderful and authentic« YANG DERONG

YANG DERONG-CEO

Makamu wa Rais wa Island Shop-Malaysia Bi.Mary Chuah alisema kuwa wamekuwa wakitafuta ni kwa njia gani wataisaidia jamii na kwa sasa wamejiunga na taasisi ya Word Vision kuandaa Charity Events kwa ajili ya mradi wa Thusalushaka Area Development Programme (ADP) in South Africa katika jimbo la Lebowa.

Katika chain ya nguo zilizotoka zinazokwenda kwa jina la The African Expedition collection wabunifu hawa wametumia vionjo vya kiafrica ambapo kuna nguo zimetumia Vitenge, Batik ,Vikoi Linen ambazo zimechorwa kwa aina ya Batik pia na aina nyingine za nguo za kitamaduni, ila habari ilikuja kwa jina la Dressed for Serengeti katika gazeti la The Star la Malaysia.

“Tulifanya  research kubwa kwa makabila na tamaduni toka maeneo ya Savannah na Serengeti, na kwa msaada toka kwa marafiki zetu waafrika toka maeneo husika walitusaidia na tumefanikisha” Derong

An elegant flowing long floral dress and a smart safari-inspired suit in white and earth tones look right at home here.

An elegant flowing long floral dress and a smart safari-inspired suit in white and earth tones look right at home here.

Mpango wa Charity hii umeegemezwa kwenye mikoba ya mkononi ambayo inauzwa kwa RM 25 na 15 ikiwa imetengenezwa kwa kutumia kitambaa maalum vya Linen na Vikoi ambavyo vimepambwa kwa nakshi ya wanyama kama Pundamiria, Twiga, Chuo na wengineo, “Nia yetu si tu kusaidia jamii hii bali ni jitihada zetu pia za kupunguza matumizi ya Plastic kwa kuwapa akina dada vionjo vya kiasili vya kiafrika kwa fasheni za kisasa kwa bei nafuu” aliongeza Chuah.

Mmoja wa Mikoba ya Island shop wenye nakshi ya Pundamilia.

Mmoja wa Mikoba ya Island shop wenye nakshi ya Pundamilia.

Mwito wangu kwa wajasiriamali wa Tanzania jamii ya Malaysia na Singapore wanapenda sana utamaduni na style ya mavazi yao ni kama ya nyumbani, ni vionjo vya Pwani na asili, kazi kwenu soko ndio hilo.

Maduka ya Island Shop kwa Malaysia yanapatikana One-Utama Shopping Centre, Petaling Jaya; Bangsar Village 2, KL; Great Eastern Mall, KL; Mid Valley Megamall, KL; Tangs at Pavilion KL and 1Borneo Hypermall na Warisan Square in Kota Kinabalu.

Tuwasiliane kwa piusmicky@yahoo.co.uk

Advertisements

5 Responses to Dressed for the Serengeti

 1. Mariam says:

  Kaka Pius salama, Nimeifurahia sana hii habari
  Nimekutumia email kwa ufafanuzi zaidi kuna kitu nilisahau huko wanahitaji Visa?

 2. Nderingo says:

  Salama mkuu wa Kambi
  Hii imekaa utamu mkuu, je huwezi pata order ya Khanga kaka?
  Nafiri ingekuwa ni challenge kwa wajasiriamali wetu kama ulivyosema na ungewasaidia kuwaulizia pia.
  Heko na salute kwako
  Nderingo
  MD

 3. Mnaly says:

  Tumezoea kuona watu wa Boutique wanakwenda Asia kununua nguo
  kumbe hata huko zetu wanaweza kununua? Viwanda na Biashara fungueni njia kwa wazalendo sio mnakalia Seminar na Makongamano yasiyokwisha.

 4. Juli Yousko says:

  The moment I imagined about matters like: why such information and facts is without spending a dime here? Whenever you publish a guide then at the very least on selling a guide you will get a percentage, for the reason that. Thank you and superior luck on informing individuals much more about it.

 5. I’m really enjoying the theme/design of your site. Do you ever run into any browser compatibility issues? A handful of my blog readers have complained about my website not operating correctly in Explorer but looks great in Safari. Do you have any advice to help fix this issue?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: