Hapa CHERIE ENLEVEE wa kwake GINO Featuring Wenge Bcbg album sayons serieux:
Hapa REMISE ET REPRISE a.k.a.Tressor Mputu wa Kwake HERITIER WATANABE Featuring Wmmm:
Leo tuna nyimbo mbili za bendi mbili pinzani sana za Congo, BCBG na Maisom Mere, nyimbo hizi zimefanana sana mapigo yake, zote ni nzuri, lakini kwa mtazamo wako kati ya vijana hawa GINO wa BCBG na nani kafanya zaidi? weka ushabiki pembeni kwa muda.
Advertisements
heritier funika bovu kaka,mbona iko wazi sana,japo gino nae si haba kapiga kazi nzuri tu lakini watanabe zaidi
wote mzuka tu mi naona,jb na werra wanafanya vizuri kuwapa nafasi vijana waonyeshe vipaji vyao,safi sana!
Heritier Watanabe!!!!
WATANABE YUKO JUU SANA
kazi zote vijana wamewakilisha vyema
NYIMBO KALI NI YA GINO BCBG
gino ana vitu vingi,mtundu sana,heritier anabebwa na sauti tu
acheni hadithi heritier yuko juu sana nyie watu
msiandikie mate kitu live hiki hapa hakijatiwa utundu wa studio wala nini,hapa kwenye live ndio tunaweza kupima kipaji halisi cha sauti ya mtu,msikieni Gino “analia” hapa
I want you to thank to your time of this amazing read!