Mazoezi ya BCBG – KIN

Leo tunaitembelea kambi ya Bcbg mazoezini,hapa tunawakuta wanakifanyia mazoezi kibao MBWA cha  kwake Chai Ngenge kipo ndani ya album ya Sayons serieux,kiukweli achenini Chai aitwe hivyo yuko juu sana kwa kweli!

 

Hapa Chai Ngenge anakwambia na kitu Duo De Paris,dogo mkali sema hana bahati ya kuwika!

Advertisements

13 Responses to Mazoezi ya BCBG – KIN

 1. Stivin says:

  Kuna wanamuziki wanatakiwa wagraduate BCBG, umri wa kuwa chini ya mpiana umepita, wafuate nyao za kina Fally, Ferre, Kabose, Celeo, Aimelia, Bill clinton, Totoo Caluji na wengineo! waache uoga

 2. peter says:

  Stivin unaijua FIKIN? muulize Fally alichokikuta AR (ARACHUGA)!! kama JB angeangusha Matongee ningeandamana ….BCBG is not MPIANA only BCBG IS A TEAM WORK…..kiswahili namaanisha TIMU KAMILI watoto wa mtaani wani pronouns….Fuluu KOMBAT!!

  • Stivin says:

   Fikin naijua kwani vp? Hivi sasa Fally yuko juu kimuziki kuliko JB hilo linajulikana, hivi umewahi kujiuliza kuwa kwa nini JB siku hizi hakanyagi Zenith wala Bercy?

   • Mamaa Prezidente a.k.a. Mwasi Ya Mokonzi says:

    kwani fally mara ya mwisho alitia timu lini huko???hebu tuwekee video yake tuicheck tuone kama kweli

 3. Anonymous says:

  kaka stiv kutoka kivyako pia inaendana na bahati,ukimuacha fally labda na ferre kidogo nani mwingine kafanikiwa,bileku mpasi mpaka leo anasota licha ya kuwa na bendi,au mtu kama mtaalam blaize bulla licha ya kipaji cha hali ya juu bado anasota,fally amepata bahati ya kipekee kabisa,ingekuwa rahisi wangefanikiwa kwanza wale QL ACADEMIA walioasi toka kwa koffi maana walitoka karibu bendi nzima na haikusaidia mambo yakawa magumu wakaanza kurudi mmoja mmoja wengine wameamua “kujificha” paris,ndio mtu kama IPUPA CHAI NGENGE akitazama mifano hiyo ya waliotangulia anaona bora anyuti bcbg kwanza,soko la muziki wa congo gumu sana kamanda!

 4. Farid From Muscat says:

  Mimi nilianza kumpenda Chaingenge toka katika album ya TH ,
  ni kweli jamaa ana kipaji na sauti yake inakubalika sana.

  • Hadj le Jbnique says:

   nanani nananana nanani jc moukoko de vita, nanani mamanpresidente mere amida…….

   Papa Farid na mascut nadhani unakizungumzia kipande hiki kwenye wimbo Walay danico kwenye TH 4:42

 5. Anonymous says:

  kitu mbwa(mbua),kamili.But video yake bado.

 6. Anonymous says:

  Lakini bcbg wanahitaji kuwa makini zaidi studio,huu wimbo wakiupiga live on stage unasikika vizuri sana kila idara lakini ukiusikiliza waliourekodi kwenye hausikiki vizuri,poor production,na hili ni tatizo la bcbg toka aondoke titina baada ya kufanya internet album ambayo production ilikua poa,kila chombo kilisikika,pia vocals zilisika poa!bcbg mi siku hizi naenjoy live zao kuliko muziki waliourekodi studio,na ndio maana mauzo ya live cd yanakuwa makubwa kwao kuliko cd za studio!

 7. peter says:

  JAMANI NAULIZA……..MUKULU FALID (Wenge Clan).KAKA PIUS (=) (NA LE MUKULU LE HADJI(jibeniqueee ) …tunajua mko mbali KIKAZI ila sauti zenU zina zinasikika HUKU BONGONYIKA KIMATENDO…swali kwenu …KWANINI MMEZIACHIA STUDIO ZA BONGO …KUWA……..MGUUUUUU PANDE!!!!KWAAAA!!! kishindo!! ……mchango wenu ni MKUBWA SANA!!!!

 8. peter says:

  nanani nananana nanani jc moukoko de vita, nanani mamanpresidente mere amida…….

  Papa Farid na mascut nadhani unakizungumzia kipande hiki kwenye wimbo Walay danico kwenye TH 4:42

 9. peter says:

  TH …….TAFUFA SAUTI YA…MPELA…….hii CD BCBG waliiimalenga

 10. Hadj Le Jbnique says:

  peter msikie na kumtazama CHAI NGENGE hapo chini 2:42 mara baada ya kumaliza Rich mukena na sauti yake nzito,halafu baada ya chai mskilize mwana kaludji anavyolia,kisha Bina malembe di!taratiiiibu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: