Onyesho la Fally Ipupa Arusha lavunjika kwa fujo

Show ya mwamuziki Fally Ipupa iliyokuwa ifanyike jijini Arusha jana tarehe 9 December 2011 haikufanyika kutokana na rabsha za Umeme.
Awali show hiyo ambayo ilipangwa kufanyika Club Matongee haikufanyika kutokana na umeme kukatika katika kabla hata show haijaanza hivyo kupelekea mwanamuziki Fally Ipupa kupanda jazba kwani licha ya tatizo hilo kuwa la kawaida mahala hapo waandaaji hawakuandaa genereta kama tatizo litatokea.

Baadaye mashabiki huku wakiwa wamepandwa jazba walianza kupiga kelele zilizoleta fujo na baadhi ya mashabiki kama wanavyoonekana pichani walijilipa gharama kwa kubeba viti vilivyokuwa vimepangwa ukumbini.
Akizungumza baada ya rabsha hizo meneja wa ukumbi huo alikiri kosa na uzembe waliofanya.

Akiongea kupitia kwa mtafsiri wake Fally alionyeshwa kukerwa na hali hiyo nz kusema kuwa tarehe hizi ni hot cake kwa bendi yake kwani nchi nyingi ziliomba show na kukuta Arusha yuko booked imemsikitisha sana.
Fally Ipupa leo atatumbuiza hapa Dar Es Salaam.
20111210-213002.jpg


Jamaa akijisanyia viti vyake kwa ajili ya kufidia kiingilia baada ya onyesho kuvunjika

20111210-213017.jpg


Chukua chako mapema, hivi ndivyo hali ilivyokuwa baada ya Fally Ipupa kutokomea kutokana na kukerwa na ukumbi kutokuwa na Genereta na umeme kukatika.

20111210-213025.jpg
Jamaa keshapata vyske

6 Responses to Onyesho la Fally Ipupa Arusha lavunjika kwa fujo

 1. Issa says:

  Mapromota wa Africa bwana sijui wana akili gani tuu, wamwwanyima watu raha kwa sababu za kijinga mtapelekaje show kwenye sehemu isokuwa na umeme?

 2. Kyekuu A Town says:

  Hii kali haijapata tokea jamaa wamebeba viti kujilipa. Papaa pius uko juu

 3. peter says:

  poleni mingi sana mashabiki wa Fally……!!!!!! njooni mpate darasa kwetu FIKIN

 4. Toya Atcitty says:

  From my observation, shopping for electronics online can for sure be expensive, however there are some guidelines that you can use to obtain the best deals. There are generally ways to locate discount deals that could help to make one to come across the best technology products at the smallest prices. Thanks for your blog post.

 5. Admiring the dedication you put into your website and detailed information you offer. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed material. Great read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

 6. Exec Leads says:

  We absolutely love your blog and find nearly all of your post’s to be just what I’m looking for. Do you offer guest writers to write content available for you? I wouldn’t mind writing a post or elaborating on a few of the subjects you write concerning here. Again, awesome site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: