Dar na sisi nafasi

December 8, 2011

image


A Town Fally Ipupa ndani ya nyumba

December 8, 2011

image

Kuna wanamuziki wengi ambao walikuwa kwa mamnguli lakini baadaye waliamua kutoka solo, sio wote walifanikiwa kwani kuna wengine kwenye bendi walikuwa wakitegemewa lakini walipotoka hawjafanya vizuri kiviile kama akina Aimelia Domingongo, Angalia muitikio wa akina Dominguez, Akina Mpella wote wawili ni kweli bado wako kwenye fani lakini sio kwa kushtua mashabiki. Fally Ipupa ni mmoja wa waliofanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki na Fally alikuwa ni mmoja wa wanamuziki walipokuwa wakitegemewa na Koffi Olomide lakini kwa sasa anafanya vizuri na kujizolea mashabiki lukuki hasa akina dada duniani kote.

Angalia hii Bakanja Live alipokuwa jijini Dar Es Salaam.


%d bloggers like this: