Heritier Itere

Kipindi hicho ndio kweli wanaitwa Wenge Musica BCBG Bon Chic Bon Genre walikuwa wamekamilika, niliipenda sana style yao ya kupokezana huku ma atalaku wakiwachezesha vilivyo hizi zilikuwa enzi za kutamba za Robert Wunda Ikokota.

Sikiliza huu wimbo wa Heritier Itere utunzi wake Werrason Ngiama Makanda Mfalme wa Nyika kama anavyojulikana, Papaa Julie We Ston muzee ya mawe Tanzania Congolese Youth Presidents Merci Mingi Papaa, jamaa anaupenda sana huu Wimbo. Msikilize Aimelia Domingongo na sauti yake kali humu utaipenda.

Heshima kwako msomaji wangu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: