Ni Kweli Makaba alifiwa na Babaake mzazi

 

imageBaada ya baba mzazi wa JB Mpiana kufariki yapata miongo miwili sasa, na baadaye baba yake Aadolphe Dominguez, Kisha Blaise bula na baadaye tena Vieux cyprien na hivi karibuni Papa Kifaya toka WMMM sasa baba yake mzazi Alain Prince Makaba Papa Clément makaba amefariki dunia.

Mzee makaba alifariki dunia zaidi ya wiki sasa na habari zinasema maziko yalisha fanyika huko Congo.

Makaba aliwahi kuwa mmoja wa waanzilishi wa Wenge Musica BCBG na kwa sasa yuko Ufaransa akiendesha shughuli zake za maisha amesema kuwa Baba yake mzazi alikuwa na matatizo ya kiafya bila kutoa maelezo zaidi.

Kwa mujibu wa habari za awali Mzee Makaba amefia Kinshasa na wanamuziki wengine waliowahi kufanya kazi na Makaba wakiwemo Didie Massela, Adolphe Dominguez, JB Mpiana , Igwe Werrason Ngiama Makanda, Alain Mpela Afande, Titina, Theo Bidens, Blaise Bula wamekuwa walishiriki katika kuandaa mazishi.

Habari zinasema kuwa Aimelia na Kusangila waliwasili wakiongozana na Makaba mwenyewe kwa ajili ya kuhudhuria mazishi.

Advertisements

5 Responses to Ni Kweli Makaba alifiwa na Babaake mzazi

 1. Predator says:

  My sincere condolences

 2. Farid from Muscat says:

  Mimi pamoja na family nzima ya Banawenge tuliopo hapa katika ukumbi wa spoti na starehe tunatoa pole sana kwa kipenzi chetu Alain Prince Makaba kwa kufiwa na baba yake.

 3. Hadj le Jbnique says:

  Pole papa prince alain makaba bayoka milangi di!!!!!!

 4. peter says:

  Pole papa prince alain makaba bayoka milangi di!!!!!! SISI WENGE CLAN TUKO PAMOJA NA WEWE KAKA …POLE SANA…. MUNGU AIWEKE ROHO YA BABA YETU MAKABA PEPONI…AMEN

  lepierre A T

 5. Just surprise your lover by sending awesome flowers bouquets through Giftagift at the first minute of
  the Valentines Day arrival even in your absence. Other traditional
  products, such as baking soda and castile soap can be used for both clothing and dishes; however, this
  is basically a laundry bar. These glycerides allow superior softness,
  smoothness, and moisture retaining properties.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: