Nipe maoni yako…

image

Advertisements

5 Responses to Nipe maoni yako…

 1. Jordan j says:

  Kaka mimi navishauri virabu vya bongo vikaze na huo msimamo wao wa kutaka ligi liendeshwe kwa kampun sababu T f f wamezi kuzingua hawaangali ubora wa ligi wao wanaangalia pesa tu

 2. mgoo says:

  HANA KAZI HUYO MKWERE!!!MWAMBIENI AJIAANDAE HUKO MAGOGONI KAJITENGENEZEA KATIBA YAKE NA VILAZA WENZAKE WABUNGE WA CCM KWATAARIFA YAO WAKAE HUKO HUKO DODOMA HATUWATAKI MAJIBONI KWETU WASALITI WAKUBWA

 3. chakubanga says:

  HUYO NDIO KAZI ANAYOIWEZA KUPIGA PICHA NA MASTAA. HUKU NCHI INADIDIMIA SHIMONI.

  MAISHA MABBOVU KWA KILA MTANZANIA.

 4. mujinja says:

  sioni kama ni rais wa tanzania huyu hivi rais anaweza kupiga picha na wasani maana yake nini rais wa nchi mwisho wa siku unaweza kuwaamkia wasani huyo siyo rais wetu mmebambika

 5. I want you to thank to your time of this fantastic read through!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: