Mambo ya Nyumbani Lounge

image

Advertisements

5 Responses to Mambo ya Nyumbani Lounge

 1. peter says:

  nasikitika niko mbalisa ila Ntakuja kulipiza kisasi……nafarijika kwani PAPA MUKULU PIUS atatuwakilisha!!!

 2. Farid From Muscat says:

  naona mwaka huu mmedhamiria kunitia kichaa jamani mwenzenu nina shetani wa wenge kichwani msiombe akapanda aaaaah itakua shida sana.

 3. peter says:

  sipati picha ndani ya huo ukumbi kama pale atakuwapo Mukulu Farid ,Le Hadje jbenique, Papa PIUS na Wanaharakati wa wenge CLAN namimi mwenyewe Lekamanda Pierre!!halafu DJ akatuwekea ile live ya sebene la zenith…..!!!!na wale wanaharakati wa Kigoma nao ndani ya Nyumbani Lounge…siku hiyo tutaanzisha bendi yetu mpya ya WENGECLAN 4X4 TZ FUN CLUB!! Nitapandisha mzuka kama wa Mpela!!!

 4. mmanyema wa kariakoo says:

  IKO POA SANA KAMANDA NA MIMI NDANI YA NYUMBA FULL MZUKA

 5. mwana wenge musica says:

  dj aweke kitu willy mutu kiko kwenye album hiyo ambayo wameitumia picha ya cover yake hapo,hiyo album ina nyimbo zote kali,gadner G anipendaga sana hiyo album hasa wimbo Capittane de benelix!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: