Werrason – Un Prince au Congo

Kuna Albamu za Werrason ambazo nazikubali ni hii ya Kibuisa Mpimpa kwangu mi hii ilikuwa ni Albamu bora kuliko zote, Naomba nilindwe nimesema kwangu mimi na sababu ninazo, hapa Werrason alikuwa na vichwa vyote muhimu ndani ya Wenge Musica Maisson Merre.

Sikiliza huu wimbo kisha nipe mawazo yako.

Advertisements

4 Responses to Werrason – Un Prince au Congo

 1. Farid from Muscat says:

  Hiii ilikua bomba sana katika moja ya Album nzuri za Werrasone na hapo mimi nilikua napenda sana majibishano kati ya Celeo na Kalunji halafu pia na huyo bint kadogoo alikua anafurahisha sana
  asante sana kwa kutukumbusha kibuisa mpipa.

 2. mgoo says:

  we unajua muziki
  nikweli ile ilikua album bora mpaka sasa werrason hajatoa album
  iliyo nzuri kama ile na hajapata wanamuziki bora kama wale ispokua kwa sasa bado anaongoza kwenye soko wana muziki muhimu kwake ni drum papiikakole waimbaji Fabregasse boten wattanabe solo kimbangu nyimbo bora kwenye ulbum technomalewa ni champion kutula

 3. Stivin says:

  Bwana Pius, tulibishana kuhusu wimbo bora wa Kongo 1999, leo naomba nikupe data in short. Kumbuka 1999 albam zilizopambana sana nchini Congo ni Tatanic na Force d intervention rapide.

  Werrason’s Music Awards

  1999:

  * Best Congolese Group: Wenge Musica Maison Mere
  * Best Singer: Werrason Ngiama Makanda
  * Best Song: Chantal Switzerland by Werrason
  * Best Animator (Atakalu): Bill “Clinton” Kalonji

  2000:

  * Artist of the year: Werrason
  * Best Song: Vita-Imana by Ferre Gola
  * Best Animator (Atakalu): Bill “Clinton” Kalonji

 4. Good details, exceptional and worthwhile style and design, as share superior stuff with excellent tips and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: