Mkasi wa Salama uko tayari

clip_image002

Mtangazaji maarufu Salama Jabir anarudi kivingine na kipindi kipya kabisa kinachoitwa  ‘MKASI’ ambacho kitakuwa kikirushwa hewani kila siku ya jumatatu kuanzia saa  3:30 USIKU.
Kipindi hichi kitaanza kuonekana hewani kupitia  EAST AFRICA TVkuanzia tarehe 14 Nove 2011.

Kipindi hicho kitakuwa kikifanyikia Saloon na kuhoji watu mbalimbali wenye vipaji lukuki kuhusiana na maisha yao binafsi na hii ni kwa mara ya kwanza kufanyika katika historia ya vipindi vya Afrika Mashariki kutokana na mtoiririko mzima ulivyo na mandhari yake.

Usikose kutazama Luninga yako ili kupata kilichobora kutoka kwa Salama Jabir. Ni  ‘MKASI’ utakaokatisha Tanzania na Afrika MAshariki kwa ujumla. Kumbuka kila jumatatu saa tatu na nusu usiku ni MKASI.

Advertisements

One Response to Mkasi wa Salama uko tayari

  1. Hadj le Jbnique says:

    du mwana karudi bongo kumbe!mpe hi ukimuona mwambie souverain king of sooth the jam na kati ya usa anakupa hi kiaina,mwanagu sana huyo kipindi hicho yeye alikua queen mimi king wa hicho kitu cha taratiibu ndani ya e.a. radio!ukimtajia souverain le king of sooth the jam utamsikia atavosema!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: