Miss Tanzania arejea, Lakini….

image

Miss Tanzania wa 2011 Salha Izrael amerejea nchini baada ya kushiriki mashindano ya Miss World na kuambulia patupu.

Tanzania imekuwa ikishiriki kwenye mashindano haya tangu mwaka 1994 yaliporejeshwa chini ya kampuni ya Lino Agency yakwake Hashim Lundenga.

Katika kipindi chote hicho ni Miss Tanzania mmoja walao alifika kwenye kumi bora na kuwa Miss Afrika lakini Tanzania imekuwa ikishiriki bila kukosa na bado hatujawahi kuambulia kitu.

Mimi ni mmoja wa watu wachache ambao wanalalamikia mfumo mzima wa mashindano haya. Kiukweli nawakubali sana Miss Universe kwa mikiki wanayopitia na maandalizi ya ma miss wao.

Soma makala yangu kwa Kamati nzima ya Miss Tanzania na Wanayoweza kujifunza kutoka kwa Miss Universe

Advertisements

3 Responses to Miss Tanzania arejea, Lakini….

 1. Issa Mahmoud says:

  Miss Tanzania wababaishaji na wanataka pesa tuu wanawatumia dada zetu na kuwauza kwa ma pendejee hawana zaidi ya hilo.
  Miss Universe wako serious sana.

 2. Salama says:

  Naungana na wewe kaka mi nilikuwa mpenzi na mshabiki wa mashindano ya urembo lakini Miss Tanzania wanabore sana yaani

 3. Dimas mlowe says:

  Hao waandaaji kama hawana kazi waache.na dada zetu kwa nini wanakubali kwenda huko?.labda nao wanapenda kuzalilishwa. By dismas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: