Zawadi toka kwa The Romantic

General Defao,Kabose Bulemba,Theo Mbala na Le Big STAR Orchestre wanakutakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki kwa style hii,kitu NADINE hewani!

Advertisements

5 Responses to Zawadi toka kwa The Romantic

 1. mwajuma zungu says:

  video nzuri,mi kaniacha hoi huyo mdada kibonge alivyo mwepesi na kiuno chake bila mfupi,defao enzi hizi alikua juu sana mzee yule

 2. Hadj le Jbnique says:

  huyu ndio kabose bulembi baada ya kuhangaika sana anzia hapo kwa defao badae kwa mzee bozi boziana sasa anajaribu kujikomboa,na ameanza hivi,je atafanikiwa na bendi yake kupenya katika soko gumu la muziki wa congo???ni suala la kusubiri na kuona,hii hapa chini ni Generique ya album yake ya kwanza ELECTION!
  Mimi binafsi namuamini kwani ana kipaji,jamaa anaimba,anatunga,anacheza sana na pia ni comedian flani,tumfuatilie lakini tumpe muda pia,sio kazi rahisi sana

 3. Anonymous says:

  mimi hapo ananiacha hoi huyo dancer mwenyeji wa abidjan ambae defao aliamua kumchukua na kuwa anazunguka nae chocholi chochola Roger Makii Abidjan nambari one!

  ona hapa ambapo defao alimvumbua na kumchukua kundini,akichezeshwa na Theo mbala live on stage in abidjan

 4. Incredible ρoints. I enjoyed reading this. Thank you!

 5. Pretty great blog site and exceptional and content articles.valuable layout, as share fantastic stuff with superior strategies and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: