Wapenzi wa yenu hii yenu

image

13 Responses to Wapenzi wa yenu hii yenu

 1. giddo says:

  Nimepata sababu ya kuja mzalendo

 2. mkigoma kkoo says:

  bora tuwe na sehemu yetu ya kujidai na kukutana wanafamilia wa sport starehe,hii ndio iwe shemu yetu ya kujuana,wale wa jb,wale wa werra wale wa koffi twendeni hapo tushindane kucheza miziki ya watu wetu

 3. Issa Mahmoud says:

  Matangazo haya waambie wawe wanayaleta hapa ndio wapenzi wa Bolingo walipo bwana

 4. BABA MARTHA says:

  DU NA SISI WAPENZI WA FALLY IPUPA(NEW GENERATION) MBONA MJATUTAJA.

 5. peter says:

  nikija Dar hiyo itakuwa siting room yangu namwomba DJ azitafute live za BCBG awasiliane na mtaalam Mukubwa Le Hadj Jbenique ….hapatatosha hapo…..bana darisalama mpo!!!! kifupi hiyo itakuwa FIKIN ya kwangu

 6. farid from muscat says:

  Hebu nyie wenyewe fikirieni kama inatokea mtu kama mimi ndio naingia sehemu kama hio jamani si itakua balaa bin danger duh maana naweza nikampandisha shetani wangu wa sebene mpaka watu wakabaki midomo wazi.

 7. Hadj le Jbnique says:

  full mzuka,nashuka bongo muda si mrefu kama mambo yatakua tutaonana hapo kwa ajili ya ku show luv na pia tufanye mpango wa kuandamana mpaka ofisi za clouds fm tukamuone jos kusaga aturudishie bambataa yetu,pius fanya arrangement nae Le big boss kusaga

 8. Really nice blog site and great and articles.beneficial design, as share superior things with great concepts and concepts.

 9. After I believed about issues like: why this kind of facts is for free here? Once you publish a book then at the very least on offering a book you get a percentage, since. Thank you and fantastic luck on informing people a lot more about it.

 10. Pretty sure he will possess a very good study. Thank you for sharing!

 11. At this time it appears like Movable Type is the top blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: