Wachezashow wa BCBG balaa

 

pia sikiliza hii

Wakati wenge inaanza haikuwa na stage show wa kike baadaye kwenye Pentagone tunamkumbuka Nene Sukari aka Nenee Sugar mwanadada serious hivi alikuwa hacheki mnene ila anakatika balaa alikuwa akiongoza kundi la uchezaji kwa Wenge Musica, baadaye walipoparanganyika ndipo walipoongeza Stage Show baada ya Koffi ambaye alikuwa juu kipindi hicho kuongozwa na kundi la wadada na kwa Koffi ukimtaka moja ya masharti yake ni kusafiri na Amazonia Guards wake, kwa wasiojua Amazonia Guards walikuwa walinzi wa kike wa Gadaffi, sasa Koffi hawa huwa anasafiri nao ndege moja na hukaa nao hoteli moja yenye hadhi ya nyota tano.

JB Mpiana naye anasemwa kuwa anawajali sana wacheza show wake na inasemekana budget ya saloon na mavazi vipodozi huwa ni jambo si la kushauriana limo kwenye budget, humu utawaona Virginie Bukasa , Winnie Mandela, Zambrotta, Kadie Show, Bibi Sucre, wapi Papaa Hadji le Becebegeeque, Muzee ya Mapenzi Club Pamoko mkuu

8 Responses to Wachezashow wa BCBG balaa

 1. peter says:

  BIG REMERCIMENT PAPAA PIUS!!! MAMBO YA FIKIN MTOTO HATUMWI DUKANI UKIMTUMA UTAMKUTA FIKIN!!!nawakubali sana madancers wa BCBG hii ndiyo burudani yangu!!!Kazi kazi tuko kikazi …balaaaaaaa!!!Hiyo cd ya hizo pamba za black and white nitaipata wapi wakuu !!! Namkubali matron Monica anawapanga vizuri sana hao madancers …..again BIG REMERCIMENT PAPAA PIUS wapi Mukubwa le Hadj jbnique…

 2. Hadj le Jbnique says:

  Melesi mingi papa P,tuko pamoja sana kamanda,peter kilio chako cha haya ma live cd kimesikika,yaelekea bongo ipo shida sana ya hizi live,kuna mpango nauandaa wa kuwezesha pawepo pahala maalum pa kuzipata hizo live latest,ukiwa tayari nitaumwaga hapa,lakini nitahitaji mtu wa kufanya nae kazi huko bongo…tutajua mbele ya safari ngoja mambo yaive sawasawa,tutauziana hata kwa njia ya mtandao wa simu ambayo itawekwa hadharani kila mzigo mpya ukitua bongo basi utakachofanya mdau ni kupiga na ku order mzigo,then utatumiwa popote ulipo kwa mkoani mpaka wilayani,stay tuned!!

 3. Farid from Muscat says:

  MIMI NAOMBA TUMCHAMBUE KIUNDANI ZAIDI YULE ALIEKUA AKIITWA NENE SUKARI MAANA SI MCHEZO ALIKUA AKIPAGAWISHA SANA APANDAPO JUKWAANI

 4. peter says:

  BIG REMERCIMENT BANA BCBG WOTE …BANA BCBG NACHAMBUA MA DANSA HAPO JUU WALIOVAA BLACK AND WHITE…inapendeza sana!!!!

  Wa kwanza ni Beverly(…….) na penda uchezaji wake wa kujitanua kama tausi jukwaani, anayefuta tall lady Bibi Sucre huyu utampata zaidi kwenye anti terro na kipe yayo dada anajua kuutumia urefu wake ku-muvu na mapigo ya BCBG nampenda sana kwenye live sifa yake ni kulitawala jukwaa kwa kuzungusha mwili sambamba na mapigo mwepesi sana ..anavutia mashabiki sana japo simwoni sana kwenye live za hivi karibuni!!baada ya tall leady anafuata mtoto balaa!!na sema tena mtoto balaa!!HUyu ni Brinette marufu kama Muana Nsuka aka Shakira…tangu kakiwa katoto kadogo kaliipenda BCBG usipime kila kalipokuwa kanaulizwa swali kalijibu…papa cherry!!!mtoto huyu anapokuwa jukwaani ni moto wa kuotea mbali anazijua kuzicheza style za BCBG na kuzikoleza kwa mbwembwe za kibcbg ni bala…. nasikia hana mifupa kwenye nyonga!! Baada ya Muana Nsuka anayefuta (dada mnene kwa umbo) huyo ni Queen mother Zambrotta…sifa ya huyu dada pale sebene linapokolea ….ukitaka kumfahamu tazama pale sebene linapokolea halafu wacheza show wako mbele na mchukua tukio(mpiga picha) akiwa nyuma yao….tazama anavyo yumbisha nyumba….nazani umenisoma!!baada ya Zambrotta anayefuata mwenye wigi wa rangi rangi huyo si mwingine ni Virginie Bukasa ..bala!! binafsi na penda midomo yake anavyo iunganisha na beat (mirindimo) ya mapigo ya BCBG ….ni mwembamba lakini hujaa stejini …mashabiki wengi wanampenda sana hata mimi pia…huwatazama mashabiki bila woga nasikia macho yake yanaongea!! Wangine

  by WENGE BCBG A TOWN FUN CLUB!!

 5. peter says:

  BCBG Squad UPDATE

  President & lead singer: You know him.

  Soloists: Patou Solo & Maitre Ficarre Mwamba

  Rhythm: Zygal & Padache

  Bass: Sunda & One tall guy,i have forgotten his name but plays at most shows in Kinshasa

  Keyboards: Cedric Guezula & Geremie Kitubu

  Congas: Zoulou Mbonda

  Drums: Seguin Mignon & Rasta

  Animation/atalukus: Gentamycine Lissimo,Cellulaire,Ben Laden & Pajo Police?

  Singers: Abraham Mignon,Djino,Nono Fuji,Zulema,Atshuda Ngenge,Chai Ngenge,Rio Kazadi,Abel Des Charme,Trezeguet,Didi Kalombo,Obama,Didi Kalombo,JDL,Jules Kibens,Soso Le Coq ,Boguys Bompema,Gessan Sakoko ,Zulema etc

  LADY DANCERS

  zambrotta, virginie, tantine, yetsi, nina, ananancy, sandralima,chermaine,brinette(muana nsuka) andbeverly,blanch

  Mashabiki na BCBG FUN CLUB malizieni niliowasahau…….

  wadau wa BCBG inapendeza kidogo kujua kikosi chetu mwenye picha aturushie kwa ufahamu zaidi….

 6. peter says:

  FOR THE BCBG MEMBERS ONLY-BANDIKA HII UKUTANI NA ITAKUPA confidence UNAPOKUWA SHABIKI WA BCBG

  The Musicians Group
  • Boguis Bompema (Singer) From 2001
  • Jules Kibens (Singer) From 1999
  • Didi Kalombo (Singer) Since 2000-2002 / 2008 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Kazadi Rio de Janiero (Singer) since 1999
  • Chai Ngenge (Singer) since 1999
  • JDL Jean Didier Loko(Singer) since 2000
  • Equalizer Djino ( Singer) since 2003
  • Abraham Mignon Mavinga (Singer) since 2003
  • Zulema Kabasele Mukamina (Singer) since 2003
  • Mint Eric (Singer) since 2003
  • Abel Charming (Singer) since 2005
  • Jeansan Sakoko (Singer) since 2000 in the Group Of The PIPIYU Wenge Bcbg
  • Taty Nsaba ( Singer) since 2004
  • Nono Fudji (Singer) since 2003
  • Atshuda Ngenge (Singer) since 2005
  • Gentamycin Lissimo (Rapper) since 1999
  • Cellular Katemo Vanga (Rapper) since 2001 in the Group Of The PIPIYU Wenge Bcbg
  • Matelo Pajo (Rapper) since 2005
  • Bin Laden (Rapper) since 2005
  • Mwamba Ficarra (Lead Guitarist) since 1992 ——–> Conductor
  • Chevshenko Patou Solo Original (lead guitarist) since 2003
  • Zygal (Guitarist Rymthique) since 2002
  • Padachy (Guitarist Rymthique) since 2007
  • Sunda Masamuna (Guitarist Bassist) since 1998
  • Mazenga Seguin Mignon Maniate Bongongo (Drummer) since 1996
  • Mbonda Zulu (Percussionist) since 2003
  • Cedric Guez (syntheur) since 2002
  • Jeremiah Kitubu (Syntheur) since 2004
  • Olivier Ngoy (percussionist) since 2007
  The Past Musicians
  • Alain Makaba (Guitarist) From 1981-1999: From Wenge Musica
  • Blaise Bula (Singer) From 1981-1999: From Wenge Musica
  • Burkina Faso (Guitarist) From 1993-2000: – From 2006 Wenge Musica
  • Patient Kusangila (Guitarist) From 1990-1999: From Wenge Musica
  • Alain Mpela (Singer) From 1985-2003: From Wenge Musica
  • Tutu Kaludji (Rapper / Singer) From 1993-2007: From Wenge Musica
  • Roberto Wunda (Rapper) From 1988-1998: From Wenge Musica
  • Aimelia Liass (Singer) From 1993-2000: From Wenge Musica
  • Titina Mbwinga (Drummer) From 1988-2001: From Wenge Musica
  • Theo Kiavuanga Bidens (synthesizer) From 1996-2003: From Wenge Musica
  • Alba Kamona (Rhythm Guitarist) From 1998-2007
  • Richard Mukene (Singer) From 2000-2006
  • Ilunga Biku Lebrun (Singer) From 2000-2005
  • Chikito Mutaka (Singer) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Djo LOKISS (Singer) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Dolin Maseng (Singer) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Yondi Yammamoto (Singer) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Abigael Shaggy (Singer) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Killimandjaro Mukendi (Rapper) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Apis Volcano (Rapper) From 2000-2002 From The Group Of PIPIYU Wenge Bcbg
  • Paty Moleso (Guitarist) From 2002/3-2006

 7. Anonymous says:

  Ya bcbg machine la muziki hawa jamaa wanatisha sana2 hakuna wa kuwashusha “shimita kucha”mze wa wenge anawajua vzr, wp shaban a.k.a papachery wa mbagala, bcbg rams wa tandika tupo bieen. ni ukweli ze wenge bcbg ni balaa

 8. Good data, superb and useful style and design, as share very good stuff with excellent concepts and ideas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: