JB Mpiana na Dady Wemba Shumbu Wembadio Papa Wemba

Kweli Papa wemba na Jb mpiana hawakukutana barabarani!!!msikie mwenyewe hapo chini, kuanzia dk 8:30 anavosema kuhusu yeye na jb!!!Hii ilikua live concert ya wenge na papa wemba ndani ya Paris,ukiipanda video nzima ya show hii uta enjoy zaidi,hapa tunakupa kionjo tu……!kama kawaida yetu.

5 Responses to JB Mpiana na Dady Wemba Shumbu Wembadio Papa Wemba

 1. Anonymous says:

  hizi zilikua siku za wenge kweli kweli…..sasa hivi raha hizi hamna tena,nani mchawi wa wenge aliesababisha ife cc tukose raha??mungu amlaaani!

 2. didistone says:

  aah wenge musica wee! hapa jb,pale werrason,kule makaba,pale blaize bula,huku adolphe dominguez ukimchanganya na mzee papa wemba sijui palikuwaje hapo ati,sipati picha,kweli mchawi wa wenge ana dhambi mpaka kwa shetani sio kwa mungu tu

 3. Farid from Muscat says:

  KUSEMA UKWELI MIMI NILKUA NA MKANDA KAMILI WA SHOW HII LAKINI NIKAUPOTEZA HIVI SASA NAITAVUTA KWA UDI NA UVUMBA TENA NINAWEZA KUNUNUA KWA THAMANI YOYOTE ILE KAMA MTU ANAYO,
  NAKUMBUKA HUMO NDANI KUNA SHOW YA NGUVU ILIFANYWA NA YULE MWANDADA WA WENGE SIKU ZILE AITWAE NANA SUKALI SINTWEZA KUISAHAU MAANA ALIKUA ANAZUNGUSHA KIUNO KUFATANA NA GUITAR LA SOLO LINAVYOLIZWA NA ALAIN PRINCE MAKABA DUH ILIKUA RAHA SAANA

 4. Hadj le Jbnique says:

  kweli kamanda ulikua nayo hii kitu kwa jinsi ulivyoelezea nimeshawishika kuamini hivyo,pale walifanya kama ka mpambano kasiko rasmi na yule dancer nguli wa kiume wa wenge ambae sijui kama wengi mnamkubuka maana hakuonekana sana na wenge akiitwa bobo sukali…kweli makaba aliwachezesha hawa watu siku ile

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: