Buriani Joe Frazier

image

Mwana masumbwi Joe Frazier wakati wa uhai wake, hii ilikuwa mwaka 2006 huko Sydney Australia, Frazier amefariki kwa matatizo ya Cancer. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amen.

image

Jina la Joe Frazier lilipata umaarufu mkubwa pale Madison Square Garden Machi 1971 alipofanikiwa kumchapa kwa Knock Out mwana makonde mkongwe na aliyeogopwa Mohammed Ali.

image

Pichani anaonekana Frazier akimpachika konde Mohammed Ali hii ilikuwa ni hiyo raundi ya 15 ambapo konde hilo liliwezesha kumlaza chali Mohamed Ali.

 

image

Frazier akiongozwa kwenye kona yake baada ya kumdondosha Mohamed Alli hapo March 8 1971.

 

image

Picha hii ya Maktaba inamuonesha Refa Tony Perez akimualia Frazier asiendelee kutoa adhabu kwa mpinzani wake Jimmy Ellis, huko New York Marekani.

Advertisements

2 Responses to Buriani Joe Frazier

  1. Good afternoon, my brother invited me to go thru your post since it seemed very interesting. At start, I was not sure it was about vals or any of the famous milonga popular people, but then, by going thru it, I realised it was. I will continue reading these articles in the future, so again thanks for writing them for all us. Cheers! #tangoinlove #elementotango

  2. I want you to thank to your time of this excellent read!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: