Chagua wadada watatu tu.

Hapa wanatakiwa wadada watatu tu kwa ajili ya kusafiri kwenda kupiga show ulaya na Bendi ya WMMM,tizama video hii halafu upendekeze nani na nani walistahili?

Sio kazi rahisi sana lakini jaribu kama utaweza!hapa ndio utajua kwamba kwa wenzetu muziki ni kazi!

Advertisements

6 Responses to Chagua wadada watatu tu.

 1. Anonymous says:

  Mashibiki wa werasonique acheni Uvivu chagueni …..mbona kimyaaa….!!! NIWACHAGULIEE….kuna dancer hapo yule anayechezesha CHAKULA CHA MTOTO namwaminia huyo zake TANO

 2. peter says:

  kama werasonique wamekaa kimyaa tuwekee Virginie Bukasa ,Winnie Mandela,Zambrotta,Kadie Show,Bibi Sucre(tall girl tafuta Kipe Yayo) Sandra Lina,Mwanansuka ,Umeme,Monika(matron) nk…..ananasiii….then kaka PIUS tupe update za ma dancers wa kike wa BCBG LINEUP ………je mashabiki wanajua maaana ya GENERIQUES tupe kaka…..

 3. Anonymous says:

  werrasoniques mpoooooooo!mbona mmekua doro hivyo..changamkeni bwana alaaa,sio mpaka yawekwe mambo ya bcbg ndio mnajazana humu kukimbilia kuponda matokeo yake mnazidi kuwapa kichwa wapenzi wa jb kwamba habari zikimhusu jb na bcbg yake ndio wachangiaji wanakuwa wengi,hii inatuhusu sisi lakini tumejikunyata au werra hana wapenzi bongo nini???

 4. You should check this out…

  […] Wonderful story, reckoned we could combine a few unrelated data, nevertheless really worth taking a look, whoa did one learn about Mid East has got more problerms as well […]……

 5. find here says:

  Read was interesting, stay in touch……

  […]please visit the sites we follow, including this one, as it represents our picks from the web[…]……

 6. a lot of wonderful information and facts and inspiration, both of which I require, thanks to give such a helpful facts right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: