Olivier Mundele, Olivier Muzungu

Unamkumbuka mzungu OLIVIER MUNDELE(Olivier mzungu) a.k.a Olivier FranseeCongolee yule mzungu wa Awilo?

Huyu hapa leo kalivamiwa jukwaa la bcbg akicheza mambo ya “sotesote… likelele linganani… linganani”

kiukweli  azo bina boye …..mcheck mwenyewe hapa,utasema sio mundele{mzungu)

Advertisements

9 Responses to Olivier Mundele, Olivier Muzungu

 1. Anonymous says:

  Big Merci Hadj Le Jbnique ,Kaka Pius na bana bcbg wote ndani ya sport na starehe!!Burudaniiiiii hiyo ndiyo BCBG bwana!!!Huko Kin haswa pale Fikin ukisikia leo kuna live ya BCBG basi mtoto hatumwi dukani na ukithubutu kumtuma utamkuta FIKIN!!!Ningekuwa afisa masoko wa TBL au SBL ningewaleta hawa jamaa LIVE na niwaambie kazi moja tuu kushambulia jukwaa na kwa mashabiki nitawaletea semi za bia na bei ya KUGAWANA MAPATO NA WATEJA!!!

 2. peter says:

  Big Merci Hadj Le Jbnique ,Kaka Pius na bana bcbg wote ndani ya sport na starehe!!Burudaniiiiii hiyo ndiyo BCBG bwana!!!Huko Kin haswa pale Fikin ukisikia leo kuna live ya BCBG basi mtoto hatumwi dukani na ukithubutu kumtuma utamkuta FIKIN!!!Ningekuwa afisa masoko wa TBL au SBL ningewaleta hawa jamaa LIVE na niwaambie kazi moja tuu kushambulia jukwaa na kwa mashabiki nitawaletea semi za bia na bei ya KUGAWANA MAPATO NA WATEJA!!!

 3. Anonymous says:

  mzungu wa awilo yuko juu!sijui yuko wapi siku hizi huyu mzingu kichaa wadau…

 4. MAMA TABU FATOU LA TANZANIANE says:

  huyu ni mkongo ama mzungu jamani??!!!!!!!!!!!maana ana kiuno cha kiafrika kabisa…!

 5. Hadj Le Jbnique says:

  Kwa ambao mmemsahau mzungu wa awilo “olivier mundele” mnaweza mkumbuka hapa kwenye “gate le coin” ya awilo,humo mkiangalia vizuri pia mtawaona mpela brothers,ambao ni ndugu,Bouro na Alain Mpela kwenye sekunde ya 0:43 wakimpiga tafu Awilo kwenye kwenye video hii kwa kucheza

 6. mwana paris says:

  Mamaa Tabu that boy is not pure white but He is a French-Congolese…..Kama alivyomtambulisha jb hapo,na hata ukimtazama usoni utagundua sio mzungu pure bali mchanganyiko wa mzungu na mcongo,baba au mama mmojawapo ni mcingo mungine mfaransa ndio maana ya fransee congolee(french congolese),tuendelee na burudani…

 7. Anonymous says:

  awilo enzi hizo alikua jua mbaya sijui nini kimemkumba,nakumbuka alikujaga bongo alipokelewa toka airport kwa maandamano

 8. Farid From Muscat says:

  kinachoshangaza ni kua anazungumza lingala vizuri sana hebu tizameni hapa

  shukran zimuendee Pius Mzee

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: