Olivier Mundele, Olivier Muzungu

November 5, 2011

Unamkumbuka mzungu OLIVIER MUNDELE(Olivier mzungu) a.k.a Olivier FranseeCongolee yule mzungu wa Awilo?

Huyu hapa leo kalivamiwa jukwaa la bcbg akicheza mambo ya “sotesote… likelele linganani… linganani”

kiukweli  azo bina boye …..mcheck mwenyewe hapa,utasema sio mundele{mzungu)

Advertisements

Nani mchafu humu?

November 5, 2011

JB Mpiana mokonzi ya ba wenge papa cherii salvatory de la patria ndani ya bruxells full shangwe

kila m2 ayo ayoo yo yoo de la patriaaaa ayooo ayoo yo yo yo de la patriaaaa…

watu wamesafiri toka paris mpaka bruxells kisa wakamuone jb


%d bloggers like this: