Rota Rota mchezo unaoshika ….

Baada ya Mpunda kwa sasa Dance ya Rotarota ndio inakuja kwa kasi kubwa, angalia hapa uone wacheza show wanavyoichambua Rota Rota….

Advertisements

6 Responses to Rota Rota mchezo unaoshika ….

 1. peter says:

  ASANTE SANA KAKA PIUS ..i salute ….BIG MERCI!!!mambo ya FIKIN hayo Si mchezo..balaaa!!…nitaipata wapi hiyo LIVE CD KAKA??

  TUACHE UBISHI BCBG KWA LIVE ……BALAA!!! hao ma-dancers wanaburudisha sana….huyu Virginie Bukasa napenda ile midomo yake anavyo iweka na jinsi macho yake yanavyo tazama mashabiki balaaa zaidi inakwenda na midundo na style zinazo tikisa!!

 2. Hadj Le Jbnique says:

  yah peter unasema sawasawa,na hicho ndicho wapenzi wengi wamekua wakimkosoa jb,kwamba ana pay attention zaidi kwenye live music kuliko studio records,wanasema iweje mziki wa live uwe mnene na shangwe nyingi kuliko studio records zake?wanadai ndipo hapo werrason anapopatia nafasi ya kuonekana kama anampita kwa kuwa huwa anaenda na sound ya live mpaka studio…..

  • Hadj Le Jbnique says:

   je ni kweli jb anakua serious kwenye live zaidi?hebu check video hii,mtazame sakoko,mtazame chai ngenge ipupa watazame na wabebe cherie kina muana nsuka,shakira etc halafu utaniambia,ila nimefurahi bcbg nidhamu mbele utamsikia jb anamwambia rio hapo mwanzao longola shakoo yani avua kofia kuonyesha heshma kwa bana njili ambao wamejitokeza kwa wingi,pia sakoko nae ataambia longola shakoo..

  • Hadj Le Jbnique says:

   nakama umenote utagundua huu ni wimbo libereee ambao wote nadhani tunafahamu kwamba solo alipiga Patou Solo,lakini leo hapa utaona solo la patou limeshikwa na muungwana Maitre Ficare mwamba,ndio utagundua ukubwa dawa kwa jinsi alivyotia tia nakshi zake bila kuathiri mtitiriko na ubora wa wimbo,binafsi namkubali sana huyu jamaa

 3. Anonymous says:

  ACHENI JB AITWE MUKULU WA BAKULU…WATU WANAKUJA WANAVUMA WANAONDOKA JB PALE PALE,ASANTE SANA PAPA NA DAIDA MWANA CONCO JB MPIANA,ROTA ROTA IMESOMEKA!

 4. mkemimi,Kigoma ujiji says:

  i luv mwana nsuka,brinnete and shakura,nawatabiria kufika mbali kama mamaa scola miel enzi zake

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: