« Haut les mains » ya Wazekwa sokoni Novemba hii.

Albamu mpya ya Mzee Felix Wazekwa inasemwa kuwa itakuwa sokoni mwezi huu, Wazekwa ambaye uimbaji wake unasifika amekuwa akibadili mara kwa mara tarehe ya kuitoa Albamu hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu.

Wengi wanamfahamu Wazekwa kama mwalimu wa mwanamuziki mkongwe Koffi Olomide ambaye huwa hasiti kukubaliana na hilo.

Wazekwa ameshamaliza kurekodi nyimbo zote na kwa sasa wanamalizia Video ambazo zitatoka kwa pamoja, akiongea na mtandao maarufu wa Digital Congo msemaji wakundi hilo alisema kuwa kwenye albamu hiyo kuna vibao kama  « Oh, la, la », « Doux, doux »,  « Energie », « Evida » et « Penalty », huku akiwataka mashabiki wakae mkao wa kula.

Naomba nikuonjeshe kibao Ah Ngai

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: