Hatimaye …..

269765_10150705446265154_773730153_19956748_24035_n

Mpira umekwisha uwanja wa Taifa kwa sasa na Yanga 1 na Simba haijapata kitu….

Advertisements

6 Responses to Hatimaye …..

 1. mwajuma zungu says:

  nasikia wavuta bangi Boban na mafisango baada ya mechi wamemshambulia kwa mateke vichwa na mangumi Emanuel Okwi?hii sijaipenda hata kidogo

 2. Anonymous says:

  Heee kumbe hata simba inafungwaga??!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 3. Anonymous says:

  Na bado mpaka Aden na Kaburu nao wapigane ndio tutaacha kuwapakata…………mnyama pisha njia yanga inakuja kukalia kiti chake cha enzi,mlitangulia na baiskeli ya miti eeeeeh haoooooooooooo kimbiza haoooo wanaona hayaa haoooooooo

 4. Asajile mwaijumba says:

  SIMBA WAMENIKERA SANA KUAANZIA JANA NIMEWATAPIKA SITAKI HATA KUWASIKIA MI TIMU AZAM FC NA TUKUYU STAR YA KWETU

 5. PAPA NELSON,Makambako town,Iringa says:

  tutaendelea kuwapakata kila wakati hawa watu,walitunyanyasa sana kwa takriban miaka mitano huko nyuma tulikua tunalala mapema

 6. plenty of excellent information and inspiration, both of which I have to have, because of give such a handy data right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: