Ni kweli Bi Kidude Amefariki Dunia?

Wimbo huu ni wa kundi la Offside Trick wakimshirikisha Bi Kidude ambaye alinata na Beat Vilivyo.

image

Habari ambazo bado sijazithibitisha zinasema kuwa mwanamuziki kikongwe na mkongwe Bi Kidude amefariki Dunia.

Bi Kidude ameweza kujizolea sifa kemkem si tu kwa Tanzania bali duniani kote.

Habari zilizoenea kwenye mtandao wa jamii wa Facebook zinasema kwamba Bi Kidude amefariki dunia jana huko Zanzima. Wengi wa walio andika status zao wameshindwa kuthibitisha habari hizo na sisi bado tunaziatilia tutakujuzeni hapa hapa.

Advertisements

One Response to Ni kweli Bi Kidude Amefariki Dunia?

  1. Anonymous says:

    Poleni sana kwa majanga ya msiba wa bi kidude

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: