Mr Paul & the Okapi Guitars Melborne tour

image

Mwanamuziki wa kitanzania Paul Mbenna aka Mr Paul ambaye anaishi nchini Australia anatarajia kuanza ziara ya kimuziki jijini Melbourne hivi karibuni.

Akiongea na Spoti na Starehe Mr Paul amesema kuwa anatarajia ziara yake itakuwa ya mafanikio kwa kuwa kundi la Okapi lina fahamika na liko likifanya shughuli za muziki kwa zaidi ya muongo mmoja na jamaa wanapiga nymbo za kiswahili “Kaka Pius Okapi guitars band ni kundi ambalo nimeanza kupiga nalo kazi hapa Sydney. NI jamaa watano wa Australia lakini wanapiga miziki ya Kiswahili i.e. Nyimbo za Sikinde, Simba wa Nyika, na nyinginezo over twenty years. It is simply a celebration of a new experience in live music & professional career “ alisema Mr Paul

Mr Paul aliwahi kutamba na kundi la Four Crews Flavor ambapo alikuwa na Musa Tagalile ambaye yuko TBC kama sikosei, Abdul Kitende aka Mark K ambaye anatamba na kipindi cha Jazz na nyimbo za Flash back ndani ya TBC2 na mwingine ambaye jina limenitoka. kadhalika Mr Paul akiwahi kutamba na nyimbo kama Zuwena ambayo aliirudia ikiwa Origina version yake ilipigwa na Marijani Rajab.

Kama unataka kujua yuko wapi na anafanya nini tuliwahi kufanya mahojiano naye gonga hapa

Labda nikukushe kibao hicho hapa

Advertisements

2 Responses to Mr Paul & the Okapi Guitars Melborne tour

  1. Thanks, I have recently been seeking for details about this topic for ages and yours is the best I have located so far.

  2. Good post but I was wondering if you could write a litte more on this subject? I’d be very grateful if you could elaborate a little bit further. Kudos!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: