Wandamba tunasema Mnemele mwana……

Mh Naibu Balozi Wa Uingereza Amvisha Pete Mchumba Wake

Mr Chabaka akitoa pete

PETE ambayo ni  Diamond ya Ukweli

Wachumba wakiwa na baadhi ya marafiki zao na familia

Salam,
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha ya sherehe fupi ya Uchumba iliyofanyika Jumamosi Tarehe 22 Oktoba 2011 kati ya  Naibu Balozi wetu Mh.Chabaka na Bi Irene.

Sherehe hii ilihudhuriwa na baadhi ya ndugu pamoja na marafiki wa karibu waliojumuika kwa pamoja kushuhudia tukio hili muhimu katika safari yao ya kuelekea kwenye ndoa.

Vazi alilovaa Bi Irene limebuniwa na kutengenezwa ramsi na Anna Lukindo. Tarehe na pamoja taratibu zote za harusi zitatolewa rasmi muda muafaka utakapowadia
Hivyo basi Urban Pulse Creative na Miss Jestina George tunapenda kuwapa hongera na fanaka katika penzi lao na maisha yao ya baadae, Mungu Awabariki.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE

Advertisements

One Response to Wandamba tunasema Mnemele mwana……

  1. thobias s bupollo says:

    shida yangu ni kujua taratibu za harusi za asili za wandamba, sio za kanisani.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: