Man U Chaliiiiiii yachapwa 6-1 na Man City

image

image

image

Amua moja uende wewe ubaki mpira au uende mpira ubaki wewe, ndivyo Edin Dzeko anavyoelekea kumkamia Wayne Rooney wa Man U katika mchezo ulioshuuhudia MAshetani wakidhalilishwa kwa kichapo cha 6-1.

Mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Old Trafford jioni ya leo kwa saa za Afrika Mashariki umeacha majonzi makubwa si tu katika jiji la Manchester bali ni kwa wapenzi wa timu hiyo walioko dunia nzima waliposhuhudia bila kuamini timu yao ikichapwa mabao 6-1 huku Mario Balotelli akipachika magoli mawili.

Sergiao aliongeza bao la tatu kwa Man City na kuimarisha ushindi wao wa kishindo kwenye uwanja huo tangu waliposhinda 6 -1 January 1926.

David Silva alifunga la nne huku mawili ya mwisho yakipachikwa na Edin Dzeko, Hata hivyo mchezo huo ulimalizika kwa Jonny Evans wa United kupewa kadi nyekundu.

Pole sana maswaiba zangu Tamim Lukuta, Edgar Kiiza, Francis na Mpoki, Moody Wandy Mgosi na wadau wote wa Man U, Dah Francy ndio ukaondoka bila kuaga swaiba kisa kufungwa kaka?

image

Mashabiki wa Man City wakisherehekea ushindi wa 6-1 hukubaada ya timu yao kuibuka kidedea leo.

 

image

Benchi la ufundi la Man U

Advertisements

4 Responses to Man U Chaliiiiiii yachapwa 6-1 na Man City

  1. muddy washington says:

    hilo gharika kaka duu 6-1!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  2. mwajuma zungu says:

    du kudadeki halafu home ground balaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  3. Issa Mahmoud says:

    Nasemaje nimefurahi sanaaaaaa

  4. Once I believed about points like: why such details is for free right here? Whenever you compose a book then at the least on marketing a book you get a percentage, simply because. Thank you and very good luck on informing persons more about it.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: