Koffi Olomide aipeleka Studio « Abracadabra »

Baada ya kimya cha muda mrefu mwanamuziki msomi Koffi Charles Olomide ameipeleka studio albamu yake ya Abracadabra.

Koffi anatarajia kuachia Albamu ya nyimbo zipatazo 18 ambazo zitakuwa ndani ya Albamu aliyoipa jina la Abracadabra hii ikiwa ni baada ya kimya cha takribani miaka miwili.

Aidha habari zinasema kuwa Koffi ataifanyia kazi ya mwisho ya uchanganyaji nchini Ufaransa baada ya kazi ya awali ya kurekodi kufanyika kwenye Studio za Ndiaye ambazo pia Mpiana amezitumia.

Koffi anajulikana kwa Production ya hali ya juu nafinishing yenye ubora siku zote na inasemwa kuwa ni mmoja wa wanamuziki ambao wanatumia hela nyingi sana kwenye production ya master iwe CD au DVD.

Advertisements

2 Responses to Koffi Olomide aipeleka Studio « Abracadabra »

  1. ALLY says:

    Kaka huyo ndio Moapao mokonzi zamani alikuwa anatumia lebo ya SONODISC vipi siku hizi ameachana nao!!!!!

  2. a great deal of great facts and inspiration, the two of which I need to have, because of present this kind of a beneficial information and facts here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: