JB Mpiana na AMOUR INFINI ndani ya Soyons Serieuxe

Aliposimama kuimba kwenye show ya Kinkore au FIKIN kama sikosei Kijana huyu ambaye mi namjua kwa jina moja ya Sakoro aliimba kwenye wimbo wa Liberez kwa maneno yake alimwambia Jb ninakula na kulala naishukuru BCBG lakini naomba unipeleke UFARANSA na JB alipopokea Mic alimwambia utaenda, baada ya show ile Wenge walikuja Dar na kupiga kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza mwezi wa Pili mwaka huu na baadaye walienda Ufaransa, ilipopigwa Liberez kijana akanata tena na beat na kumwambia JB asante nashukuru nimefika Ufaransa, hahahahahahaha inafurahisha sana.

Advertisements

3 Responses to JB Mpiana na AMOUR INFINI ndani ya Soyons Serieuxe

  1. Hadj Le Jbnique says:

    KITU SAFI CHA SAKOKO…KIMESIMAMA ILE MBAYA,NAMKUBALI SANA HUYU KIJANA…

  2. peter says:

    ,,,,,,Kijana balaaa!!! hiyo ndio kazi ya PPU sasa namwomba JB amweke dogo kwenye kikosi cha Mapambano (FRONT LINE).Hii ni album nzuri sana naikubali 100% hapa kikosikazi kilikaaa bado Zulema namsubiri…..

  3. jully weston ilunga says:

    presidant puis nemeipata hiyo maboko likolo

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: