Ferre Gola Kurekodi na Celine Dion

ferre

Pamoja na kuwa Single yake ya Lekeleke kufanya vizuri na sasa albamu ya Black Box au Boite noire iko mbioni na sasa mwanamuziki Ferre Gola anaanza ziara ya kuitangaza.

Kwa mujibu wa Secretary General Mr. Bozi. wa Ferre Golla albamu hii ni solo ikiwa ni yakwake mwenyewe, inasemekana kuwa Ferre ataingia huko USA mwezi ujao kwa shughuli ya kurekodi Albamu hiyo.

Inasemwa kuwa pamoja na hayo yote Ferre atakuwa na makubaliano na Celine Dion ambaye anasemwa kuwemo kwenye wimbo mojawapo wa albamu hiyo inayosubiriwa kwa hamu, matarisho ya awali ya kusaini mkataba wa Ferre na Celine Dion yamekamilika anasubiriwa Ferre tu kuwasili huko.

Wanamuziki wa Congo kwa sasa wamekuwa wakifanya kolabo na wanamuziki wa kimataifa hasa wa Marekani katika kujaribu kuliteka soko la wazungumza kiingereza, kwani Mwanamuziki Fally Ipupa alifanya Kolabo na Mpenzi wake Olivia na wimbo huo ulishika chati kadhaa za muziki duniani.

Aidha habari zinasema kuwa albamu ya kundi iko tayari, albamu hiyo inakwenda kwa jina la « Qui est derrière toi ? » au “who is behind you” au nani yuko nyuma yako? albamu ambayo ina nyimbo kama  « 12 heures », « Kerosène »na nyinginezo huku wakisema kuwa Video ya Albamu hiyo pia iko tayari.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: