Mdau wa BCBG aaga ukapera

image

image

image

image

image

 

Sydney Lugoe ni mdau mkubwa wa Spoti na Starehe na pia ni mmoja wa wanazi wa JB Mpiana Hongera sana mdau kwa kufunga pingu za maisha.

Nachukua nafasi hii kukukaribisha kwenye club yetu mdau karibu sana.

Nakuacha na kibao Feux De lamour, Kibao cha JB Mpiana akimaanisha mioto ya Mapenzi maneno ya humu ndani ni mazito kaka tafuta nafasi uyapitie natuma Papaa Hadj Le BCBGeeque atakueleza zaidi…

Advertisements

One Response to Mdau wa BCBG aaga ukapera

  1. odran chaula says:

    Nampongeza sana mdau wa JB Mpiana “papa cheli” kwa kuachana na ukapera.mimi Ni odran Chaula Munazi wa kutupwa wa JB Mpiana

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: