Kumbukumbu

Mzee Micky

Mzee Pius Hassan Ngavyocha Mikongoti 1928 – 2006

Ilikuwa siku, Wiki, Miezi na sasa ni Miaka Mitano tangu Baba yetu ututoke. Tunakukumbuka kwa upendo uliotujengea, heshma, na nidhamu mbele za watu ndio tunavyoringia toka kwako.

Unakumbukwa daima na Mkeo Adelaida (Binti Kwarewere) Dadaako Salome, Wapwa wako, wanao, na wajukuu zako wote ambao kwao sio tu ulikuwa babu bali rafiki mwema. Ni vigumu kuelezea pengo lako lakini huko uliko elewa sala zetu ziko pamoja nawe.

Raha ya milele umpe eeh bwana… Apumzike kwa Amani

Amen.

Advertisements

12 Responses to Kumbukumbu

 1. Hadj Le Jbnique says:

  Mungu ampe pumziko la amani mzee wetu huko aliko,bila shaka tulimpenda sana lakini mapenzi yetu kwake hayakufua dafu kwa mapenzi ya muumba wake kwake,akaamua kutunyang’anya mpendwa wetu lakini kwa kuwa kazi ya mungu haina makosa basi tunashukuru na kusema Amen.

 2. peter says:

  MUNGU AKUPE PUMZIKO LA MILELE NA NA MWAGA WA MILELE AKUANGAZIE MPENDWA MZEE WETU Pius Hassan

  AMEN

 3. BABA MARTHA says:

  MWENYEZI MUNGU AMETOA, MWENYEZI MUNGU AMETWAA

 4. Mamaa Prezidenti says:

  MUNGU AIWEKE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MZEE.AMEN

 5. Fatuma Mtanga says:

  Kila nafsi itaonja umauti.mzee wetu amatangulia na sisi tutafuata.Tuishi kama alivyoishi mzee na kuendeleza mazuri yote aliyotuachia.

  Inna lilahi waina ilaihi rajoon.(hakika kwa mungu sote tutarejea)

 6. Anonymous says:

  ni mapenzi yake mungu ndiye aliyeamua ila pengo lako baba halitazibika kamwe na tunakukumbuka daima,
  “pumziko la milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie astarehe kwa amani amina”

 7. Anonymous says:

  baba daima tutakukumbuka hazina ulotuachia ndio inatufanya tukukumbuke daima upendo,amani,ucheshi wako tunavikumbuka daima.
  bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe
  “pumziko la mille umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie astarehe kwa amani amen”
  estherdevota

 8. Anonymous says:

  baba daima tutakukumbuka hazina ulotuachia ndio inatufanya tukukumbuke daima upendo,amani,ucheshi wako tunavikumbuka daima.
  bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe
  estherdevota

 9. mkemimi,Kigoma ujiji says:

  mungu amuweke mahala pema peponi mzee ameen.

 10. Anonymous says:

  SIYO RAHISI KUAMINI KUWA HAUKO NASI DAIMA TUTAKUKUMBUKA BABA YETU MPENDWA MUNGU AILAZE ROHO
  YAKO MAHALI PEMA PEPONI AMINA
  JANETH MIKONGOTI

 11. I believe this is often an informative post and it is actually knowledgeable and incredibly helpful. I’d prefer to thank you for that efforts you’ve created in creating this short article.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: