Wanafunzi wa Kiafrika washutumiwa kwa biashara ya Ukahaba Malaysia, wamo wa Kitanzania pia.

image

Pichani ni Baadhi ya wanafunzi wa kike wakiwa nje ya club kusibiri wateja, Huko Jalan P-Ramlee jijini Kuala Lumpur Malaysia.

The Star News Paper.

Imeripotiwa kuwa baadhi ya wasichana wa kiafrika wengi wao wanaokwend akwa njia ya uanafunzi wamejiingiza kwenye biashara ya ukahaba nchini Malaysia.

Kwa mujibu wa gazeti  kubwa la nchini Malaysia The Star, wanafunzi hao wamekuwa wakionekana hadhani nje ya kumbi za burudani hasa nyakati za usiku huku wakizungumza na wateja wao wakipatana bei.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo akinadada hao wana chaji kiasi cha RM 200 kwa kile cha chap chap sawa na Tsh 80,000/-  na RM 600 ambayo ni sawa na laki tatu kasoro ushehe kwa kulala hadi asubuhi.

Nchi ya Malaysia imekuwa kimbilio kwa wanawake wanaojiuza toka nchi nyingi hasa za jirani na Malaysia kwa vile jiji hasa la Kuala Lumpur limekuwa likipokea watalii wengi hasa wanaokimbia majira ya baridi huko Ulaya.

Kwa miaka ya karibuni kumekuwa na wanafunzi wengi sana toka nchi za Afrika wakienda kusoma nchini Malaysia kutokana na elimu yao kuwa ya kiwango cha juu.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo wanafunzi hao ambao wanakati ya miaka 20 na 30 inasemekana wanatoka nchi za Ghana, Tanzania, Togo, Cameroon, Botswana na Nigeria.

Kwa mujibu wa ripoti za kichunguzi toka jarida la Star Metro linasema wandadapoa hawa wana uwezo mkubwa wa kumkamata mteja.

Wanafunzi hawa wote wanakuwa na copy ya Passport zao na barua zinazoawatambulisha kuwa ni wanafunzi toka vyuoni mwao.

“Niko hapa kwa miezi miwili tu na utafurahia huduma yangu” alisema binti huyo wa miaka 22 ambaye amejitambulisha kuwa yeye ni Binti wa Kitanzania.

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi wa Kiafrika kwenda kusoma Malaysia, kuna tatizo kubwa ambalo wanakutana nalo wakiwa huko nalo ni Malaysia hairuhusu wanafunzi wakigeni kufanya kazi na hata ukipata kazi ya kufanya hazilipi, Mimi binafsi nimesoma nchini Malaysia na naongea kutokana na Experience nilinayo na mji ule. Maisha nchini Malaysia ni magumu hasa kama huna kipato na unategemea kupata pesa toka kwa wazazi kwani ukikosea hesabu inabidi ukae mpaka pesa zitumwe tena toka nyumbani.

Jijini Kuala Lumpur maisha yako juu kulinganisha na miji mingine nje ya jiji hili, wengi wa wanafunzi ni kweli wamekuwa wakifanya biashara hizi na wengine wamejiingiza kwenye biashara hatari ya madawa ya kulevya ambayo haina adhabu mbadila nchini Malaysia/ Singapore zaidi ya kunyongwa ndani ya masaa 24.

Tunawaasa wazazi wawe karibu na watoto wao na wajue gharama halisi za kusomesha watoto ambazo ma agent wengi wa shule hawawaambii ukweli wazazi kuhusu gharama hizi, matokeo yake wakifika kule ndio wanatumbukia humo.

Gonga hapa kusoma zaidi

Advertisements

3 Responses to Wanafunzi wa Kiafrika washutumiwa kwa biashara ya Ukahaba Malaysia, wamo wa Kitanzania pia.

  1. Anonymous says:

    NATAFUTA LAFIKI WA KIKE

  2. Anonymous says:

    Natamani sana tw marafiki

  3. a lot of excellent info and inspiration, the two of which I need to have, because of present such a useful information right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: