Wamtambua nani hapa?

image

Advertisements

4 Responses to Wamtambua nani hapa?

 1. Hadj Le Jbnique says:

  Wa kwanza kutoka kushoto ni Abraham Mignon,Papaa na Daida Mpiana Tshituka a.k.a.Jb Mpiana,Nonoo Fuji na Gino.

  Hicho ndicho kikosi cha kwanza cha Bana Wengee Bcbg kwa sasa.

 2. peter says:

  …..zulema…sakoko….eric….police….

 3. peter says:

  ….nisaidieni bana wenge BCBG hii sauti ya Abraham Mignon huwa inanikumbusha mbali sana.. sauti fulani kipindi cha wenge asili enzi za AKINA mtaalam IKOKOTA …HI..HO …HA …sauti hiyo alijaribu Emelia kuiziba ikashindikana akatoka kivyake ….lakini kama utaitazama live ya BCBG…A…KINKOLE….utaniambia Abraham Mignon ni nani mbali na kutawala jukwaa KIKAZI……vijana walijaribu kuziimba nyimbo hizo za enzi ya …New image…..Merci mingi…….Hadj Le Jbnique

  angalizo…sauti hiyo huimbwa kama Mignon anavyoimba katika nafasi ya uimbaji ndani ya BCBG….sauti hiyo itakukumbusha mbali sana…’Kala Yi Boeing

 4. Hadj Le Jbnique says:

  jb mwenyewe anasema Abraham ni new Alain Mpela kutokana na sauti pamoja na uchezaji jukwaani

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: