Mercure ya Ferre Gola; Inaonyesha kipaji cha uimbaji cha Ferre

Kuna rafiki yangu anaitwa Maghambo aka The Big Producer, alisema kuwa mpaka mwanamuziki akubalike Congo ujue kuna kazi kubwa kafanya, kwani tumeshaona wanamuziki wengi ambao wamekuwa wakitoka kwenye bendi kubwa lakini ni wachache  ambao wamekubalika mpaka leo wamedumu mmoja wa wanamuziki hao ni Ferre Golla ambaye aliwahi kufanya kazi na Wenge Musica BCBG baadaye walipogawanyika alikwenda kwa Werrason akiwa ni mmoja wa wanajeshi watiifu.

Kisha aliamua kutoka peke yake. tangu hapo Ferre amekuwa juu na anakubalisa kwa kiasi kikubwa sana, ukiusikiliza huu wimbo vizuri utasikia kuna sauti mojaameigiliza humo ni ngumu kuigwa sana, sauti hii si nyingine yakwake Kabasele Ya Mpanya aka Pepe Kalle, huyu bwana alikuwa na style yake kama anacheka hivi ilikuwa inanogesha sana nyimbo zake.

uKwa wanaosikiliza nyimbo kwa umakini watakubaliana na mimi kwa hili, siku njema.

Advertisements

3 Responses to Mercure ya Ferre Gola; Inaonyesha kipaji cha uimbaji cha Ferre

  1. I have been browsing online for over 4 hours today, but I haven’t found any great article like yours. In my opinion, if all site owners and bloggers produce good articles like what you have done, the web will be a lot more useful than ever before.

  2. I unquestionably love each and every little little bit of it and I’ve you bookmarked to check out out new stuff of the blog a ought to read blog site!

  3. I unquestionably enjoy every single minor little bit of it and I have you bookmarked to examine out new stuff of one’s weblog a ought to read through blog site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: