JB na Werra wametoka mbali basi tuu…

image

pichani ni Werrason Ngiama Makanda akiwa na Swahiba wake JB Mpiana Baba Daida miaka hiyo, Aisee hawajamaa ni washkaji basi tuu.

Advertisements

18 Responses to JB na Werra wametoka mbali basi tuu…

 1. Issa Mahmoud says:

  Papaa unanifurahishaga sana sijui hizo vitu unazitoaga wapi kwa kweli nimeipenda sana hii hahahah si mucheso.

 2. peter says:

  …….HI HO HA…….new image………

 3. peter says:

  TUMETOKA MBALIIIIIIIIIIII

  The early part of Werrason’s musical career, starting from 1981 was spent in Wenge Musica BCBG 4×4 Tout Terrain, where he was the deputy band leader and the finance director. Initially, between 1981–1985, the band was like a holiday hobby for the members who were all students. In 1985 they begun to curtain raise for then big music performers before they decided to begin recording some of their compositions in 1986. Werrason’s musical ability begun to show very early in Wenge Musica BCBG 4×4. In 1988, the band released an album, ‘Bouger Bouger’ that topped charts in Congo for three years and propelled Werrason and his friends to national fame. In this five song album ‘Bouger Bouger’ Werrason was credited with composing the song ‘Nicky D’. The album had a theme chant called ‘mulolo’, which was elected the Song of The Year, but which until today it is not clear who between Werrason and JB Mpiana, composed though each of the two claim it was their original idea. In 1991 the group produced another master class titled[35]’Kin e Bouge’ an album that was voted ‘The album of the year 1991.’ In it Werrason composed the song ‘Kaskin.’ However 1993 was the year that Werrason gained international recognition when he composed the song[36]’Kala Yi Boeing,’ which was also the title of the group album, an album which received international acclaim. For ten years (between 1987 and 1997) the band enjoyed incredible success throughout Africa and Europe. As the deputy band leader of Wenge Musica 4×4 tout terrain bon chic bon genre, Werrason was credited with composition of key beats that took the African music scene by storm, bringing in great talents like Ferre Gola to the band and also his energy during live performances.

  mambo hayo……

 4. Anonymous says:

  MULOLO NA KIN E BOUGE NI NYIMBO ALIZOTUNGA MPIANA NA NDIZO ZILIZOMPA HESHIMA KUNDINI HUMO HILO LIKO WAZI NA HALINA UBISHI KAMA AMBAVYO ILIVYO KAYI BOIENG ILE NI UTUNZI WA WERRASON

 5. Predator says:

  Tafadhali naomba sianze ubishi usio na ukweli. JB Mpiana alikuwa lead vocalist wala sio lead composer. Nyimbo nyingi zilizowapa kundi la Wenge Musica umaarufu hasa dunia mzima, zilitungwa a Werrason huku J.B akizipa zawadi lake la sauti nyororo. Mulolo ilitungwa na JB, sawa, lakini Kine Bouge, ilitungwa na Werra. Tusianze kumpa J.B kila credit ovyo ovyo tu kwa sababu alikuwa mwimbaju mkuu, hata mahali Werra ndie alifanya kazi ya punda miaka yote ya Wenge.

  • Mukubwa Shabani says:

   WE BWANA WEWE UTATUCHUKIA HUMU BURE SASA MAANA UNAKUJA NA HADITHI ZA UONGO HALAFU UNATAKA KULAZIMISHA ZIWE KWELI KWA KUANZA KUJIWEKEA ULINZI USIKOSOLEWE,KIN E BOUGE DUNIA NZIMA INAJUA NI WIMBO WA MPIANA,NA NDIO MAANA HUONI HATA MARA MOJA MAISON MERE WAKIUTUMIA KWENYE CONCERT ZAO KAMA AMBAVYO HUONI BCBG WAKIIPIGA KALAYI BOEING KWENYE MACONCERT ZAO,UBISHI KIDOGO ULIWAHI KUTOKEA KWENYE MULOLO NAO UKAJAKUWEKWA WAZI BAADAE KWAMBA IT WAS MPIANA’S IDEA LAKINI KIN E BOURGE NI YA JB MPIANA FOREVER NA NDIO ILIOMPATIA UMAARUFU WERRASON ANAZO NYIMBO NZURI TU NYINGINE MBONA WHY MNAMG’ANG’ANIZA NA NYIMBO ZISIZOMHUSU..?!!!!!TUACHE UBISHI WA KITOTO

 6. Mdau wa sokomatola,mbeya says:

  wadau mnajua nini?ili kijiwe chetu hiki kichangamke ni lazima watu kama predator wawepo..hawa ni wachangamshaji tu isiwape tabu kila kwenye vijiwe kama hivi lazima wawepo ili kuzua mijadala motomoto,maana yeye atakuja na kitu against makusudi tu ili kuchokonoa watu wafunguke na yeye apate faida ya kujua asiyoyajua…anafanya makusudi kuchanganya taarifa,mi napenda hii wadau…

 7. Farid wa Muscat says:

  Tizameni hapa album hio iliposhuka ilikua na nyimbo hizi hapa chini na hao ndio watunzi wa hizo nyimbo .

  Ngoma Maguy – Roberto Wunda
  Kin E Bouge – JB Mpiana
  Princesse – Alain Makaba
  Kaskin – Werrasone
  Eve Sukali — Blaise Bulla

  ukweli ndio huo hata kwa kizaire wansema yaa solo

  • Farid wa Muscat says:

   halafu tizameni sana kuna tofauti ya baina ya alieimba na alietunga kama huo mwimbo uitwao Princesse umetungwa na Alain Makaba lakini umeimbwa na Jb mpiana. haya sasa wazee kule Urundi wanasema AKILI MUKICHWA

   • Anonymous says:

    Farid nimeamini wewe ni werrasoniqu mkweli kupita wote humu ndani,asante sana kwa ufafanuzi maana kweli ubishi na ushindani mwingine unakuwaga wa kitoto

 8. Predator says:

  Swali rahisi nuwaulize kama mtanijibu………

  Je, kutolewa jina nyuma ya CD ama compact cassete ni dhihirisho kwamba msanii ndiye alifanya kazi zote zile? Especially kama ni kikundi (band) na wala sio collabo?ama solo album?

  Je, kuna yeyote kati yenu mabaye atajali kutofautisha concept developer na project implementer?

  Sioni haja kubishana nanyi

  • Hadj Le Jbnique says:

   mbona maswali yako yote hayana uhusiano wowote na kinachozungumziwa hapa?!!!wewe umeleta issue ya kusema werrason ndio alitunga kin e bouge kitu ambacho si kweli na hata werrason mwenyewe hakuwahi kusikika hata mara moja akidai wimbo huo aliutunga yeye..sikiliza wimbo essau wa jb mpiana kama unajua lingala utaelewa anasema nini kuhusu wenge alipoikuta na nini alikifanya kama yeye mzee acha stori tunataka facts siku hizi dunia kijiji kila ki2 kiko wazi kaka hatudanganyiki tena,na wala hakuna aliesema ndani ya wenge kuna mtu alifanya kazi peke yake,wenge walikua wakitoa album katika nyimba sita werra atakua na wimbo mmoja ama miwili jb mpiana hivyo hivyo,sele bula pia n.k.sasa wimbo wa nani utabeba jina la album ilikua inategemea jinsi ulivopokewa na mashabiki baada ya kuu release kama single na kuwasikilizisha wapenzi kupitia redios, concerts n.k.sasa kwenye kin e bourge ndio tunakwambia ki e bourge kama wimbo ulitungwa na jb hii haina maana kwamba jb ndio alitunga nyimbo zote umo..usichanganye mambo..humo kulikua na nyimbo nyingine nzuri tu pengine kuliko hata kin e bourge yenyewe ambazo zilitungwa na wengine akiwemo werra,kama ilivokua kwenye kalayi boeing wimbo huo ulitungwa na werra na ukabeba jina la album kwa utaratibu ule ule wa kuwa ndio ulipokewa zaidi na mashabiki lakini jb pia humo ana nyimbo nzuri tu pia adolphe,bula,makaba n.k.

   USICHANGANYA KATI YA WIMBO UNAOBEBA JINA LA ALBUM NA ALBUM YENYEWE AMBAYO WALIIFANYA AS A TEAM KWA KILA MTU KUWEKA WIMBO WAKE

  • dj papa upanga says:

   KAMA NI HIVYO BWANA PREDATOR TUKII APPLY DEFINITION YAKO BASI DUNIANI HAKUNA MWANAMUZIKI ALIEWAHI KUTUNGA WIMBO….!!HATA MICHAEL JACKSON…,NASEMA HIVYO KWA KUWA MIMI NI MWANAMUZIKI WA BENDI NAJUA JINSI NYIMBO ZINAVYOTUNGWA,JAMBO LA KWANZA KATIKA UTUNZI NI FEELINGS,THEN UNACHUKUA KARATASI UNAZIWEKA KIMAANDISHI,HALAFU UNATAFUTA SAUTI YA JINSI UNAVOTAKA UIMBWE HUO WIMBO WAKO THEN NDIO UNAUPELEKA KWA WENZAKO HUKU UKIWA UMESHAPANGA SAUTI GANI ZITUMIKE NA NANI NA NANI UTAZIHITAJI SAUTI ZAO KULINGANA NA WIMBO WAKO,NDIO MAZOEZI YANAANZA YA JINSI YA KUINGIZA INSTRUMENTAL NA MAMBO MENGINE LAKINI MWISHO WA SIKU HUWEZI KUSEMA WIMBO NI WA KUNDI ZIMA,MWENYE WIMBO NI YULE ALIELETA IDEA

 9. peter says:

  ….JAMANI TUACHE UBISHI ukiiichambua wenge asili..utakubali kwamba jamaa walitumia kitu kinacho itwa TEAM WORK namaanisha kazipamoja na ndio maana kuna concert kubwa ambalo halitasahaulika moja kati ya NGULI wa BANAWENGE alijitoa na kuzani jahazi LITAZAMA ila laaahasha haikuwa hivyooo shoo ilifana balaa na hapo nikajua kwamba …jamaa wanajua kufukia….na siri hiyo hutumiwa na JB hata Wera….mpaka leo..

  PETERPASCAL(PPU) A TOWN

 10. peter says:

  WADAU wa WENGECLAN huu wimbo wa Barakuda mtunzi Makaba simchezo Jb aliiimba sauti yenye hisia kali….wimbo huuu …..da…hebu wadau uleteni hapa jamvini tuburudike…..

  Titanic was a trully democratic album. Mpiana’s name is nowhere on the cover. It is Les Anges Adorables.

  1. Titanic (Tutu Callugi)
  2. RDC (Mpiana)
  3. Barakuda (Makaba)
  4. Omba (Mpiana)
  5. Proces Mambika (Mpela)
  6. Likala Moto (Bula)
  7. Tour Eiffel (Titina)
  8. Champion Kapangala (Mpiana)
  9. Liberation (Aimelia)
  10. Serge Palmier (Mboka Liya)

  FROM PPU A TOWN

 11. Hadj Le Jbnique says:

  BARAKUDA HII HAPA,LAKINI HAKUNA VIDEO YAKE,HAIKUWAHI KUREKODIWA KWANI KAMA UTAKUMBUKA BAADA YA ALBUM HIYO KUWA REALESED NA BCBG KUPATA KAZI YA KWENDA KUTUMBUIZA ZENITH HUKO PARIS,MAKABA NA BLAIZE BULA WALIJITOA BCBG,HIVYO JB HAKUONA UMUHIMU WA KUREKODI VIDEO YA NYIMBO AMBAZO WENYEWE HAWAKO KUNDINI,THAT’s WHY HUWEZI KUIONA VIDEO YA LIKALA MOTO WA SELE BULLA NA LIBERATION WA AIMELIA LYASE “DEMINGONGO” AMBAE ALIJITOA BAADAE KIDOGO PIA.

 12. odran chaula says:

  Jb nampenda sana kiukweli mpaka sasa kwenye gari yangu hata nyumba CD nyingi ni za JB ana imba sana mimi nimembatiza jina la Yusur ndur de Congo

 13. Nzila says:

  Hahahaha, I like you guys. Anyway, nimesoma comments na posts zenu nyote nimejawa na furaha. Werrason, JB Mpiana wote ni wanamziki bora kabisa. Ila kila mmoja anakipaji lake! Aisee, huwezi kulinganisha mziki wa Werrason na Mpiana, la hasha, ni kama vile huwezi kulinganisha malinga yao. Inajulikana pote nchini DRC (except wabishi hoi) kama Mpiana anasifa bora la kuimba, ni composer mzuri, na nyimbo zake zina maana saana kulinganisha na za wengine bendini. Isitoshe, Mpiana ametunga nyimbo nyingi ambazo zimebeba sifa kubwa la bendi yote. Kwa mfano, Mulolo, Kin Ebougé, HI HO HA, No Comment Shengen, Ndombolo, etc. Mambo ni mengi. Kuhusu Werrason, ni mashuhuri pia, mtu mwenye sifa nzuri na anapenda kusaidia. Ni mtungaji wa densi sana, tofauti na JB. Nimewahi kufika nyumbani kwao wote, huko Kinshasa kabla sijahamia ugenini (Ma Campagne-Werra and Mont Flerry, Commune Ngaliema-JB Mpina) Wote wanapesa chungu nzima. Pengine jambo kidogo la ziada, Mpiana inasemekana kua mtu mwenye kiburi (inawezekana kwa kua alipata sifa sana na isitoshe ni mwanadamu) tofauti na Werra ambaye ni tulivu kidogo. Ba oyo bayebi Congo na biso mpe bayokaka Lingala, bakondima ete yaya alobi solo mpenza. Boyokaka mpe ba mbwakela na bango, ata soki mikol’oyo bakitisi mwa moke. Asante kwa wote.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: