Fiko fiko fion Kazi yake Bozi Boziana akimshirikisha Mege 30

image

Niliwahi kuandika kuhusu huyu Binti wa Congo MG 30 ambaye kwa kiasi kikubwa ametolewa na mwanamama Tshala Muana, anaimba sana huyu binti kwa muda mfupi amefanikiwa kutoa Zingzong na wanamuziki wengi maarufu.

Hapa Le Grand Paa Papaa Noel Bozi Boziana amemshirikisha The New African Diva Mege 30 ambaye ameinogesha sana, kwa mujibu wa wadau baada ya listening session Albamu hii imebeba maudhui ya mapenzi ambayo yamemmbeba Bozi yule wa Zamani ambaye alitamba na hiyo ndio style ambayo ameitumia ndani ya Albamu hii. Albamu hii itakuwa sokoni muda wowote kuanzia sasa, nakuahidi hapa hapa Spoti na Starehe ndio utakapopata taarifa na kuona Video ya Albamu hiyo ambayo kwa sasa upigaji Picha ndio ushakamilika na wako wkenye hatua za mwisho za uchanganyaji picha.

Pamoja na wengineo humu ndani utawasiki mtu kama Olivier Tshimanga, mchawi wa Gitaa ambaye anakuja kwa kasi sana pia Ramazani na Laurent Kadogo ambao wamenogesha kwa ucharazaji mahiri wa magitaa humo.

Advertisements

3 Responses to Fiko fiko fion Kazi yake Bozi Boziana akimshirikisha Mege 30

  1. Anonymous says:

    MEGE30

  2. Anonymous says:

    mege 30

  3. http://edmund6345dx.wallarticles.com/

    Fiko fiko fion Kazi yake Bozi Boziana akimshirikisha Mege 30 | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: