Ulimwengu ang’ara TP Mazembe

image

Wachezaji wa TP Mazembe Patou KABANGU na Thomas ULIMWENGU wakitoka uwanjani baada ya mechi yao ya kirafiki, Ulimwengu aliifungia Mazembe kwenye mechi hiyo. Mashabiki walionyesha kufurahisha na Ulimwengu ambaye kwa kiasi wanafikiri atakuwa ameziba pengo lililoachwa wazi na Kaluyituka ambaye amekwenda kusakata soka la kulipwa huko Ulaya. Ulimwengu alifunga goli la pili.

Advertisements

One Response to Ulimwengu ang’ara TP Mazembe

  1. PAPA NELSON,Makambako town,Iringa says:

    TOMAA ULIMWENGU….KAZI NZURI YA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NJE YA MIPAKA YETU,PIA MBWANA SAMATTA,NADHANI KUPITIA WAO KILA MCONGOMAN SASA ANA HAMU YA KUIJUA TANZANIA ZAIDI KAMA SISI TULUVYOKUWA NA HAMU YA KUIJUA CONGO ZAIDI KUPITIA WANAMUZIKI WA HUKO.

    GOOD JOB VIJANA KAZENI BUTI ZAIDI HUKO.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: