Tabou Fatu Top Model Mamaa na Compressoo

 

image

Ingawa ni ya Kusikiliza lakini sikiliza umsikie JB alivyomlilia mamaa Tabou Fatou

Anaitwa Tabou Fatu Top Model a.k.a. Mamaa na Compressoo,huyu ni mwanadada mrembo mcongoman mfanyabiashara anaeishi Bruxells Ubelgiji, anamiliki maduka makubwa ya nguo (Boutique) huko ubelgiji na ufaransa, ni mrembo kweli na anajua kujipigilia pamba, hapa katopa simple tu lakini kapendeza,JB aliwahi kumtungia wimbo mzima acha kumtaja mara kadhaa kwenye nyimbo zake, pia fallly ipupa ana wimbo aliutunga kwa heshima ya mwanamama mjasiriamalia huyu wa kiafrika, Nadhani nimejibu swali lako mdau wangu Peter, Merci Mingi Papaa Hadj Le Jbnique kwa Compilation hii.

Sikiliza huu Wimbo then Sikiliza Baada ya Werrason jinsi Aimelia Lyase Doming’ong’o alivyompokea, Jamaa wamepokezani uzuri sana humu ndani.

Advertisements

26 Responses to Tabou Fatu Top Model Mamaa na Compressoo

 1. Farid wa Muscat says:

  aaaaaaaah ule mwimbo alioutunga JB Mpiana 1996 wa Tabou Fatu ulikua bomba sana mimi mpaka leo ninao nausikiliza maana umekung’utwa guitar si la kawaida na wazee wa kazi.

 2. mwaikasu,forest, mbeya says:

  DU KUMBE MTOTO MZURI NAMNA HII,AISE HATA SIDHANI KAMA HUYU NAE ANAWAPAGA HELA WAMUIMBE

 3. mombasa raha says:

  tabou fatu nilivokua namsikia niliju ni limama limoja linene kumbe hata kwenye mkono hakajai,lakini hawezi kuwa na biashara ya maduka ya nguo tu atakuwa pia na mambo mengine

 4. peter says:

  ….inapendeza sana…….haswaa ukakutana na kifaa kama hiki namaanisha FATU halafu ni kati ya mashabiki damu wa bana Wenge hata kama wewe ungekuwa wewe enzi hizo ..ungemshushia mistariii….tazama live alizopiga Jibe huko Ubeligiji utawaona akina FATU wengi jinsi wanavyo shambulia sebele….ukumbini tena wako single kwa mawe yao…..kila onyesho la Baba Daida wakoo……Merci papa PIUS …

  WADAU KUNA RUMBA lakufa mtu mtuzi wake ni Sunda Bass mjukuu wa Masela linapatikana katika album ya JB iliyopita before Mpunda kama kuna kipande chake Papa Pius,Farid wa Muscat na Mtalaam mchambuzi Hadj Le Jbnique mtupe hapa

 5. Hadj Le Jbnique says:

  Bwana peter wimbo unaouzungumzia uliotungwa na sunda bass nadhani ni LIBEREE,Mimi huwa naipenda zaidi hii live yake ambayo ilipigwa Paris,huwa napenda sana zaidi anapoingia mtu mmoja anaitwa SAKOKO,hebu isikilize mpaka hapo atakapoingia sakoko utamsikia jb akimwita then unipe tathmini yako kumhusu,je anafaa kuwa kikosi cha kwanza….huyu anatoka kule PPU………

 6. Mpunda Forever says:

  Nimeisikiliza mwanzo mpaka mwisho sakoko nimemuona lakini mimi nimeupenda mpini wa solo wa mzee mzima maitre ficare,kweli hii ni grease ya bcbg…hebu sikilizeni hilo solo baada ya waimbaji wote kumaliza,natamani isingekuwa inaisha hiyo part ya solo nimei rewaindi mpaka bila kuchoka leo kwa kweli

 7. ALLY says:

  Tena nasikia hivi juzijuzi tu alidhamini onyesho la koffi olomide kwa ajili ya kmchangia Tabu ley. Huyu dada ni Kiboko

 8. BABA MARTHA says:

  KAKA NAKUKUMBUSHA, PIA FALLY IPUPA ALIMTUNGIA NYIMBO PIA (LIPUTA) WIMBO UNAPATIKANA KWENYE ALBUM YAKE YA KWANZA. ALAFU HABARI ZA KIDAKU ZINASEMA, TABU FATU ALIKUWA AU HANA UUSIANO WA KIMAPENZI NA FALLY IPUPA

 9. Mamaa Prezidenti says:

  Hata koffi pia iliwahi kusemwa kwamba mpaka anataka kumuoa kabisa,kiufupi tabou fatu ameuwa kipenzi cha wanamuziki wa congo,hivyo yote yanaweza kuwa majibu si mtoto wa kike bwana tena mrembo hivi mwanaume gani anaweza kumkataa mtoto kama huyo…

 10. MWANA NSUKA says:

  hawa ndio wamama wanawapokea ba musicien ba congo huko ulaya na kuwapa kila huduma zikiwemo emotional services

 11. Anonymous says:

  Naona huyu ndio kachukua nafasi ya mamaa saggy sharufa la refference,nilisoma hapa kwamba siku hizi kaokoka na kaamua kuutumia utajiri wake kwa mambo ya mungu,huyu nae miaka ya tisini aliimbwa na kila mwanamuziki wa congo

 12. Fatuma Mtanga says:

  amependeza sana kwa pamba alizojipigilia,sijui naweza zipata wapi hizo pamba yarabi,anywayz bwana nimefurahi leo kumjua mamaa tabu fatou top modele

  • piusmickys says:

   Mamito Fatma Mtanga
   Hizo kwa sasa ndio kama Pamba kwa ajili ya Mpunda, POLO ni Vazi Rasmi JB Mpiana analitumia kwa ajili ya kunadi Mpunda yake na kwa sasa kila mtu anavaa Polo TShirt.
   Zinapatikana tuu niambie niku inbox Mamito

 13. peter says:

  PAMBA ZA UKWELI!!!

 14. Hadj Le Jbnique says:

  Baadhi ya Wamama wa ukweli wanaochangia kuupeleka mbele muziki wa congo:

  1:Claudia Sassou Nguesso a.k.a.claudia mwana ya sassou

  2:Tabou Fatou le top madele mamaa na compresoo

  3:Mamaa Igete mboma a.k.a.Princesse

  4:”Emperatrise” Wivine Moleka

  5:Nanyango Madamme ya potto a.k.a.mere maluu(marehemu)

  6:Saggy Sharufa a.k.a.sharufa la refference(siku hizi ameokoka lkn)

  7:Yaseti Mwanangani mamaa prezidanti

  8:Mamaa Paulina Nzombo

  9:Mama Collente Nzombo na Bruxelle

  10:Bebee Akunji

  Baadhi yao ukifuatilia video hii hapaa chini kwa makini utasikia jb akiwataja wanapanda stejini mfano mamaa igete mbona atakua wa kwanza kupanda hapo dk 2.45 na gauni jeusi ataenda kumkubatia jb kwa furaha sana huyo mama anampenda jb balaa..then angalia kuanzia dk ya 4 uwaone wamama wa ukweli kwenye muziki wa congo,mamaa mere maluu(marehemu na gauni la kijani)

 15. ALLy says:

  Kuna live concert moja ya Koffi Olomide aliifanyia Abijan miaka ya 90’s kipindi wakina Suzuki wapo kuna mama alikuja kumpa Maua Koffi olomide nasikia ni maarufu sana na anafaranga ya kutosha anaitwa nani?

 16. Hadj Le Jbnique says:

  Papaa ALLy nimejaribu kuitafuta hiyo concert ya koffi tumuone huyo mama sijaiona,hebu check kipande hiki kama ni hii ili niitazame vizuri video nzima,hii ilikua abidjan 1997,utaona wapo wote kina suzuki,Abarambwa,Sam Tshintu,Bourro Mpela,atalaku MBOSHI BOLA(huyu nilimpendaga sana)n.k watajitambulisha mmoja mmoja nadhani itakua pia ni wakati mzuri wa kuwajua kwa sura na majina mapaka wacheza show wataongea hapo mwanzo

 17. peter says:

  INAPENDEZA SANA WADAU WANAVYO CHAMBUA MAMBO KWA UNDANII ZAIDI KAMA MUKULU Hadj Le Jbnique

 18. peter says:

  …..mukubwa Hadj Le Jbnique kuna …huyu madame Saggy Sharufa a.k.a.sharufa la refference…..umenikumbusha rumba safi ndani ya album ya internet jb alimwimba dada huyu huku Mwamba akisindikiza kwa solo lake….buruuuudaniiii saaaaaaaaaaaaaafi ….wadau rumba zilizopigwa ndani ya Internet ni balaaa tafuteni hii album then mtaniambia….

  • Hadj Le Jbnique says:

   japo umezungumzia rhumba zilizomo kwenye internet lakini nimemkumbuka tutu caludji alivyofanya kazi kubwa ya mwisho kumsikia vizuri humu,nimeona tusikilize pamoja hili Generique la album ya titanic umsikie tutu caludji na wanafunzi wake Genta Lisimo na bwana mdogo Kilimadjaro ambae alivumbuliwa na Tutu Caludji akamkuza kwa lengo la kuja kuwa mrithi wake lakini dogo alipopewa nafasi kidogo kwenye hii album hasa kwenye wimbo huu kuweka rap zake kwa kushirikiana na tutuu na genta kichwa kikavimba walipokwenda paris akaamua kubaki mpaka leo hajarudi,lakini alikua anakuja vizuri sana,kwenye video hii haonekani lakini aliirap part yake vizuri sana,kwa wasiojua huyu kilimandjaro ni mdogo wake Bill Clinton

 19. Kudos. I hope you are making money off this website. I enjoy the stuff you provide here. Website experts would love your posts. Your writing style reminds me of my professor.

 20. Hi there! This is my first visit to your blog! We are a group of volunteers and starting a new project in a community in the same niche. Your blog provided us valuable information to work on. You have done a outstanding job!

 21. Denny Palek says:

  I want you to thank for your time of this wonderful read!

 22. Right now it sounds like WordPress is the preferred blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

 23. Sales Leads says:

  Admiring the persistence you put into your blog and in depth information you present. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed information. Excellent read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: