Kwa Wapenzi wa iPhone tu

Introducing iPhone 4S.

image

iPhone 4S

Dual-core A5 chip. All-new 8MP camera and optics. iOS 5 and iCloud. And introducing Siri. It's the most amazing iPhone yet.

Pre-order from 7 October. Available on 14 October.

6 Responses to Kwa Wapenzi wa iPhone tu

 1. Anonymous says:

  Lakini mmepata habari STEVE JOB muanzilishi wa iPOD,iPAD,iPHONE n.k. ambae alikua CEO wa kampuni ya APPLE amefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa muda si mrefu toka ninavoandika hapa?ni msiba mkubwa hapa marekani na duniani kiujumla kwa wana teknohama

 2. Hadj Le Jbnique says:

  KWA KWELI NI MSIBA MKUBWA SANA SIO HAPA US TU BALI DUNIA NZIMA,HIKI KILIKUA KICHWA,AMESAIDIA SANA KURAHISISHA MAISHA YETU DUNIA NZIMA,HEBU TUMKUMBUKE HAPA ALIPOKUWA AKIFANYA PRESENTATION YA KUITAMBULISHA iPHONE kwa mara ya kwanza duniani,japo kidogo network ikamfanyia hujma hapa,lakini kutokana na ucheshi wake hakuna alieboreka,na hapa alikua keshaanza kuumwa na ndio siku alitamgaza kuachia ngazi nafasi ya u CEO ili apate muda wa kushughulikia afya yake,kama kawaida yake akija kutambulisha mzigo mpya ama katika maisha yake alipenda kuvaa hivyo mtakavyomuona hapo chini,simple tu jeans yake blue na sweta jeusi,kiufupi jamaa hakua hata na phd wala degree aliachia shule high school baada ya kuona mizinguo tu akajikita katika utundu wa electronics mpaka akavumbua computer akiwa na miaka 21 tena nyumbani kwenye garage yao,STEVE JOBS amaeacha incredible legacy hapa duniani Bila ya yeye pengine hata usingekuwa utabofya hapo sasa hizi R.I.P.steve

  4http://www.youtube.com/watch?v=yoqh27E6OuU

 3. Hadj Le Jbnique says:

  steve na ipod nano

 4. Hadj Le Jbnique says:

 5. Pei Dolch says:

  Good info, superb and important design, as share very good stuff with great ideas and concepts.

 6. Appreciating the commitment you put into your site and in depth information you offer. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed material. Excellent read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: