Watoto wa Werra

Hawa hapo chini ni “watoto” wa Ngiama Makanda Le Roi De La Forret Werrason,ni watoto watundu na watukutu sana ukiwakuta stejini,Hapa Flamme Kapaya aliwashirikisha Bill Clinton na Celeo Scram ili kuwapa angalau kidogo burudani wanayoikosa watoto wa Congo Kwenye matamasha ya WMMM Siku hizi.Pata sebene na mautundu ya ku dance toka kwa Bill Clinton

6 Responses to Watoto wa Werra

 1. mkigoma,kariakoo says:

  Kwa kweli maison mere sidhani kama tutakuja kupata kikosi kazi kama hiki……hawa vijana walitusaidia sana kumnyamazisha mpiana na mbwembwe zake sio siri,lakini yote maisha tunawatakia kila la heri huko waliko

 2. Anonymous says:

  hawa vijana wangeanzisha bendi kwa pamoja wangefika mbali,wanajua muziki kuliko mpiana na werrason,wale wamezeeka hamna ki2 yamebaki majina tu

 3. Richard MALEWA says:

  Sisi tunashukuru sera na falsafa za Mzee Ngiama zimeleta matunda na kuongeza uzao wa wana WMMM hivyo sauti yatu ya WMMM itadumu hata kwenye generations zinazokuja na hiyo ndiyo itakuwa legacy ya Le Roi De Forret.

 4. Anonymous says:

  HUYU NAE NA WERRASON WAKE!!!!!!!!!!!!!HEBU KUWA OPEN MINDED KIDOGO BWANA RICHARD AAAAH….

 5. Shante Cicco says:

  numerous great facts and inspiration, the two of which I require, because of give such a handy data right here.

 6. You lost me, friend. After all, I imagine I get what youre saying. I am aware what you’re saying, nevertheless, you just appear to have forgotten that you will find various other folks inside world who view this matter for it can be and may even perhaps not concur with you. You may well be turning away much people who could have been lovers of one’s website.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: