Huyu ndie Willy Bula kaka wa Blaize Bula

image

Alikuwa wapi na kwa sasa yuko wapi? Tega sikio inakuja hapa hapa…

Advertisements

4 Responses to Huyu ndie Willy Bula kaka wa Blaize Bula

  1. Jules says:

    Willy Bula si kaka bali ni mdogo wake Blaise Bula wa Ponderation 8, yule aliyekuwa ingenieur wa wenge Musica BCBG. Willy kwa muda mrefu alikuwa na Koffi Olomide pamoja na kina Suzuki miaka ya mwanzoni ya 90 mpaka 1997. Then zaiko Langa Langa ikamchukua mwaka 1997 na kutoa naye albamu mbili. Akatoka zaiko mwaka 1999 na sasa ni teja la kutupwa japo watu walimsaidia lakini uteja ni uteja tu. Si mnamuona Zulema, anasaidiwa lakini akiwa peke yake anajificha na kujidunga, ndivyo afanyavyo kijana Willy.

  2. dj papa upanga says:

    Nani mkubwa kati ya willy na blaize bula?Blaize Bula amaezaliwa 12/4/1967…nani anajua willy amezaliwa lini?changamoto naitoa kwa wadau anaefahamu ili tuujue ukweli.

  3. Anonymous says:

    Hizi ndio enzi za willy bula ndani ya quartier latin ya koffi olomide,mtazame hapa anaanzisha na koffi wakiwa wamesimama

  4. I’m really loving the theme/design of your blog. Do you ever run into any web browser compatibility issues? A small number of my blog visitors have complained about my site not working correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any ideas to help fix this issue?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: