Akumbukwe Defao

image

Leo tunakwenda angle tofauti kidogo,tunamzungumzia Genaral Defao Matumona na bendi yake ya Big Stars ambayo ilitesa sana katika ulimwengu wa muziki wa congo kwenye miaka ya tisini.Defao alianza kuimba mwanzoni mwa mwaka 1976 katika bendi za mitaani ndani ya kinshasa kama orchestre soka movema,fogo stars,korotoro n.k.Inasemekana alishawishika kupenda kuimba kutokana na uimbaji wa wakali wa zaiko langa langa wakati huo Papa wemba na Nyoka Longo,lakini mwenyewe amekuwa akikiri kwamba TABU LEY amekuwa main inspiration kwake.Defao alianza kujulikana zaidi nje congo mwaka 1991alipoanzisha bendi yake ya BIG STARS Iliyokuja kuitijisa miji mikubwa ya africa kama Abidjan,Dar es salaam,Kinshasa,Oagadougou n.k.Hapa chini kwa mfano mtaweza kuiona video ya live concert Abidjan enzi hizo likiwa jiji la maraha kwelikweli kabla ya kukumbwa na machafuko ya kisiasa.

Hapo mwanzo ni THEO MBALA enzi hizo akiwa ndio yuko kwenye kiwango cha juu kabisa anamchezesha Chocholi chocholaa mcheza show mahiri wa big stars.Pia anawachezesha Defao na Kina Kabose anaeimba na kushikwa kichwa na defao,ilikua safi sana.

Advertisements

14 Responses to Akumbukwe Defao

 1. Anonymous says:

  ama kwa hakika hapo kwenye video ya defao abidjan umenikumbusha mbali sana,huo mkanda ninao mpaka leo,theo mbala alikua kwenye kiwango cha juu sana that time

 2. Predator says:

  Ingawa mimi mwenyewe sijadhibitisha, kuna fununu kwamba Theo Mbala pamoja na Celeo Scram kumbe walishafanya mpango kitambo ya kuwaunganisha wasanii tofauti waliotoroka bendi walimokuwa ili kuchapisha album moja ya kukuza amani baadhi ya mashabiki wa muziki na umoja ncini DRC. Album yenyewe nimesikia inaitwa Fara Fara featuring Theo Mbala, Celeo Scram, Tutu Calugi, Gode Lofombo, Bill Clinton, Alpatshino, Popolipo na wengine wengi sana. Je kuna ukweli hapo?

 3. Hadj Le Jbnique says:

  walikutana tu ma animateur/marapa karibu wote wa bendi kubwa za congo na kutengeneza album ya pamoja kama zing zong sio kwamba waliunda bendi ya kudumu japo ni kweli theo mbala ndio alikuja na idea hiyo na kuungwa mkono na wengineakiwemo tutu caludji,bill clinton,repa wa quaetier latin enzi hizo Mboshi Bola ni siku nyingi,ilikukuwa 2001 nadhani,na mzigo wa wenyewe wa Fara fara unite congolais huu hapa chini kwa uchache,hiki ni kitu cha theo mbala mwenyewe,kila mtu alitunga mwimbo mmoja kwenye album hiyo.

 4. Hadj Le Jbnique says:

  Tutu caludji nae akatupa jiwe hili kwenye hiyo album wa marepa bora wa congo fara fara

 5. PAPA NELSON,Makambako town,Iringa says:

  jamani hii album kumbe ya siku nyingi 2001 na hapa bongo hatujawahi kuiona!!!hii imekaaje wadau?ina maana pengine kuna album nyingi tu nzuri za wanamuziki ambao siku hizi hatuwasikii zinaendelea kutoka daily,hii album ya hawa marepa lazima niisake japo nimechelewa,hivi vichwa…

 6. Alain mpela says:

  Hao marepara ni hatari sana

 7. MARKO,NGUSI says:

  NAWAKUBALI SANA WANAMZIKI WAKONGO

 8. MARKO,NGUSI, says:

  DEFAO NAMKUBALI SANA AUKWAKIUJUMLA WANAMZIKI WAKONGO NIWAZIMA KABISA,HASA HUYO FALLY,IPUPA,NAKOFI

 9. Great Blog! I agree completely with you here. It is a very valuable and useful collection of blogs. I am trying to gain information from all these. Really useful. Thank you..!!

 10. Incredibly great blog site and fantastic and content articles.beneficial design and style, as share good stuff with great strategies and ideas.

 11. Right now it looks like WordPress is the top blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

 12. Right now it appears like Movable Type is the top blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

 13. Essentials Of Healthcare Marketing

  Akumbukwe Defao | Spoti na Starehe

 14. pdf to Jpg hd converter online

  Akumbukwe Defao | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: