Ya 5; Best of Lady Jay Dee iko tayari

image

Mwanamuziki Lady Jay Dee ametangaza kutoka kwa Albamu yake ambay ni Compilation ya nyimbo zake bora zilizotamba tangu aingie kwenye ulimwengu huu wa Muziki.

Jay Dee ambaye alikuwa akiwajulisha wapenzi wake kupitia ukurasa wake wa Facebook amesema kuwa Albamu hiyo itajumuisha nyimbo toka albamu zote Asubuhi ya 2000, Machozi, Binti, Moto na Shukrani. “…Album inaitwa YA 5 & THE BEST OF LADY JAYDEE Inaunganisha na nyimbo za zamani kuanzia Asubuhi ya 2000, Machozi, Binti, Moto na Shukrani…” ilisema sehemu ya status ya mwanamuziki huyo.

Jay Dee ni mmoja wa wanamuziki wenye mafanikio makubwa kimuziki huku mafanikio na graph yake ikizidi kupanda kila uchao, Mbali na hivyo ni mwanamuziki ambaye ni kioo cha vijana wengi kwani tofauti na wanamuziki wengine si rahisi kusikia kashfa au kusoma kwenye “tabloids” habari yeyote ya ajabu inayomhusu yeye, nachelea kusema kwa heshima anaongoza huyu mdada.

Hongera Jay Dee mashabiki wako tunakungoja, tuko pamoja wakukufuta machozi binti machozi.

Advertisements

4 Responses to Ya 5; Best of Lady Jay Dee iko tayari

  1. Anonymous says:

    YANI SIKU KARIBU TANO HAKUNA STORI MPYA….NDIO MAANA MICHUZI ANAKUA JUU…..HIZI BLOG NYINGINE ZOTE ZINAZINGUA TU

  2. Anonymous says:

    Hongera sana dadangu jde,na pole na matatzo Mungu yuko pa1 nawe atakusaidia,mi mdogo wako ni shabk wako sn na nakupenda sn.

  3. Anonymous says:

    Watafanya kila njia ili uanguke kakn hawataweza kamwe,we n jembe dadangu nakukubali sn.

  4. Reasonably selected he’ll have a good study. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: