Vipaji adimu toka kwa Werrason.

Leo nimeamka na Werrason tuu, mi huwa nasikiliza vitu vingi sana kwenye wimbo naomba usikilize jinsi vijana walivyopangilia sauti kwelye wimbo huu kisha sikiliza solo ilivyopigwa humu. Werrason analeta mambo si mchezo na ndani yake kuna style ya Mapouka fulani basi raha tuu.

One Response to Vipaji adimu toka kwa Werrason.

  1. Paschal M Canisio says:

    Ni poa, unajua huyu Coco Kimbangu anazijulia nyuzi za solo, ukichanganya na sauti ya Brigade na Diego Cao bila kumsahau Lobesso, mh! utamu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: