Koffi na Cindy walivyomuomboleza Mamaa Editha Bongo au Editha Sasou Nguesso

Nimewachagulia wimbo huu hapo  ambao koffi olomide na cindy wake walimuimbia Mamaa EDITA OMARI BONGO au EDITA SASOU NGUESSO ambae alikua mke wa presidaa OMARI BONGO wa Gabon na pia alikua ni binti wa kumzaa wa Rais DENNIS SASOU NGUESSO wa CONGO BRAZAVILLE, huu ni wimbo wa majonzi baada ya kifo cha maman EDITA. Natumai kwa Post hii nitakuwa nimekujibu mdau wangu  Mkemimi, wa Kigoma ujiji. Shukrani sana kwa kuwa pamoja.

7 Responses to Koffi na Cindy walivyomuomboleza Mamaa Editha Bongo au Editha Sasou Nguesso

 1. mkemimi,Kigoma ujiji says:

  Asante sana kaka pius,nimekusoma kuhusu maman Editha Omar Bongo mwana ya Sassou!mungu amlaze pahala pema huko aliko yeye pamoja na mumewe mzee Bongo.

 2. Anonymous says:

  huu wimbo japo wa majonzi lakini waliimba vizuri sana,sijawahi kuusikia japo ni wa zamani,si mnaona nyie mnaodai tusiwekewe mambo ya zamani,muziki murua kama huu tungeujuaje…acheni hizo bwana,ushabiki wenu kwa mafahali wenu wawili usitunyime raha tulio neutral bwana.

 3. Aisha La Parisien says:

  huu mziki uko kwenye album gani?sijawahi kuusikia licha ya kuwa mpenzi wa koffi sana,cindy ana sauti nzuri sana huyu binti

 4. mombasa raha says:

  ni kweli cindy kawekwa kinyumba na kofi?na je kofi ako na watoto wangapi

 5. Hadj Le Jbnique says:

  WATOTO WA KOFFI HAWA HAPA:
  1:aristod
  2:Elvis
  3:minour
  4:rocky
  5:Didi stone
  6:del piero mourinho

  Jumla wako saba wanaojulikana official,hapo nimewataja sita cuz mmoja nimemsahau jina,pia kwa kuongezea tu koffi ni mwanamuziki msomi sana,anayo degree ya mambo ya uchumi na pia anayo masters in mathematis kutoka chuo kikuu cha paris,Pia ana kaka yake aitwae Joniko anaishi ufaransa na amekuwa akimtaja taja sana kwenye nyimbo zake,mamake ana asili ya siera leone lakini aliolewa na mcongoman babake koffi.

 6. PAPA NELSON,Makambako town,Iringa says:

  tunashukuru mdau kwa kazi nzuri kuhusu hao watoto wa koffi,hayo majina tumekuwa tukiyasikia sikia kwenye nyimbo za koffi lakini tukajua labda ni wapenzi tu wa koffi kumbe wanae,poa sana

 7. Unsure…

  The beginner may be confused about the details but…

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: